Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

we endelea kuangalia kwakua ndo umezianza halafu ulete yatokanayo
 
Ni kweli shemela
 
sasa jini au mchawi anataka kuvuka barabara anaogopa magari.. anapisha yapite ndipo anavuka

unaona kabisa mtu anapigwa kibao mlangoni anatafuta kochi lilipo ndio anadondokea na kujifanya kazirai

yaabi mlimbwende anaamka asubuhi akiwa na make up usoni, kajipaka lipustiki usingizini??

sasa hizo bunduki/risasi zinavyotoa mlio paaa kama fundi akiwa anagonga msumari kwenye ubao yaani...

R.I.P BONGO MUVI
 
Kama uliangalia wewe ni wewe kwani kuna sheria inatulazimisha tuangaloe bongo muvi au ndo umezijua leo kwa shemeji yako!?
 
eti ana tafsiri kichina kweli??, then wakiitwa wakalima wa kichina nchini haendi afadhali tuangalie hivi hivi tusidanganyane kabisa
 
Tv ,deki, sofa ,meza ninunue kwashidaaaa alaf napo movie initese kuangalia nakusoma substitutes MAF DJ lainisha mkuu nikumeza tuu ata ukisinzia unaelewa bongo makelele tuu mekap zenyewe zamaji[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
hahahaha pole best
tunasapoti vya kwetu jamaa
 
ahahahahhahaha nimecheeekaaa kweli kweli

ila hizo za zamani sio za sa hivi za akina GABO nzuri jaman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…