Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
Baada ya kilio chanu cha muda mrefu nilichokisikia huku JF kuhusu watu kukataa kuangalia Bongo Movie nimeona niulize Swali hili:
Jamani watanzania wenzetu kwanini hamuangalii bongo movies?
January niliingia mtaa wa Kariakoo pale opposite na kanisa la Lutheran Kariakoo nikaona fremu kibao movie za kichina na bongo movies nikasogea nikaona nikusanye bongo movies zone za mapenzi kwasababu ndio field yangu.
Kuja kucheki mbona bongo movie nzuri jamani wasichana wanajitahidi mikiss kibao yani bongo kama Ulaya vile.
JB anajitahidi na Ray movie zao kwenye ma feelings wapo vizuri.
Akina kajala na Raima sijui Wolper sijui Sepenga yeleuwi watanzania kwanini hamuangalii bongo movie
Kusema ukweli movie za kichina ukishanitafsiria unanikata stimu kabisa nampa pongezi anayetafsiri movie za kichina kuwa kiswahili mimi nikiona tu natafsiriwa nalala au nahamia DSTV sasa sijawahi kuwaelewa wale wanaongia mtaani kulipia movie ya kutafsiri.
JAMANI KWANINI HAMUANGALII BONGO MOVIE HASA ZA MAPENZI?