Jamboni wote wana JF. Nimekuwa nikiwaza sana bila kupata majawabu ndipo nimeona niombe kwenu msaada. Ni kwamba maishani mwangu sijawahi kuona mwanamke yeyote yule aliye na upara kichwani. Hii inamaanisha kwamba vipara ni kwa ajili ya wanaume tu? Siku za nyuma niliamini kuwa ndevu ni kwa wanaume tu lakini hivi sasa tunashuhudia wamama wengi tu wakiwa nazo!!!!