Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Kila nikifungua app za movies Tanzania sion sehemu ambako kuna Tangazo la Premier za mvies za Tanzania miezi kadhaa nyuma kuna movie mbili ziliwahi kua premiered pale mlimani lakini hazitengenezwa Tanzania, Vipi kuhusu hizi za kwetu kabisa zilitengenezwa na production za ndani na waongozaji wa ndani.
je kuna tatizo gani maana kama matangazo wanaweza kufanya ila watu wakajua sidhani watu watshindwa kujaza kumbi za sinema hata kwa siku mbil kama wakiwa mipango mizur tatizo ni nini,
movies zetu zinatakiwa kua kitu kimojawapo cha kujivunia ........