Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Wakuu huu uchaguzi kwa kweli unaelekea waweza kuwa na zengwa yaani vyombo vya habari kama BBC, CNN etc hawafuatilii uchaguzi huu kabisa yaani kwenye website zao hawana article zozote zinazogusia japo kidogo kuhusu October 31 2010 Tanzania general election?