Kwanini hakuna Google Trader Tanzania??

Kwanini hakuna Google Trader Tanzania??

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
1,037
Reaction score
1,026
Kwa wafuatiliaji wa mtandao wa Google, mnafahamu kuwa wana "localised service" ambayo huwa katika nchi husika na inatiwa google trader. Hii huwapatia watu fursa ya kutangaza bidhaa na services mbali mbali katika google katika nyanja mbali mbali bila malipo. Kila muweka tangazo anatengenza profile dogo tu na kuambatanisha picha, maelezo, video, website n.k kuhusiana na anacho kiuza.

Kwa mfano nchi nyingine za kiafrika kama Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria etc zina "google trader sites" zao
Uganda: Google Trader
Kenya: Google Trader
Ghana: Google Trader

Huduma hii ni nzuri na rahisi na ni maarufu kwa uuzaji wa chochote kuanzia kupata nyumba ya kupanga mpaka kununua gari au kiwanja mahala popote.

Je ni kweli Tanzania ni "Difficult Market" kama wengi wanavyosema mpaka Google kuona haina manufaa kuwa na Trader site ya Tanzania??
 
Back
Top Bottom