Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Habari wakubwa zangu wa kazi,
Nimekuwa nikijiuliza muda sasa,hivi kwanini hakuna chanjo ya virusi visababishavyo UKIMWI?
Wataalam wamekuwa wakitengeneza chanjo za magonjwa kadhaa ambapo watu huchomwa sindano ili kuzuia au kujikinga na maambukizi.
Kwamfano: Korona, Pepopunda, Kifaduro, Polio nk. Hizi ni chanjo tunazochanjwa tukiwa watoto kabisa kuzuia maambukizi.
Swali langu ni je,wataalam hao hao wameshindwa kutengeneza chanjo au miili yetu wanaifanyia biashara?
Mbona wanatutisha na kutuuzia makondom na dawa za ARVs au aina hii ya virus wanatengeneza wao ili watuuzie sisi Waafrika ili hata kama pesa ya kununua hatuna tukopeshwe wao waje kubeba dhahabu zetu na mali zingine tulizojaliwa?
Naomba niseme tu kuwa ni fikra zangu tu katika kuwaza naomba nisaidiwe kimawazo badala yakuniambia sijasoma wala situmii akili katika kuwaza🙏