KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
John Guninita ameihama tena CCM na kurudi CHADEMA aliyojiunga nayo mara ya kwanza Kwenye miaka ya tisini baada ya kukumbwa na kashfa nzito ya ufisadi Kwenye mradi Wa mabasi ya wanafunzi akiwa mwenyekiti wa UVCCM.
Umoja wa vijana wa CCM cheo ambacho alikuja kukirithi Emanuel Mchimbi.
Wafuatiliaji wa mambo tunajiuliza Ni sababu zipi zilimfanya aitose CHADEMA na kurudi CCM na sasa kuamua kurudi CHADEMA?
Je nwanachama wa aina hii anastahili kuaminiwa na kupewa hata udiwani?