Kwanini gogoro lisitokee simba kwa sasa?

ngomicom

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
123
Reaction score
19
Kwa wapenda soka la bongo naamini huwa mnafuatilia mwenendo wa ligi ya vodacom, kwa matokeo ya leo kati ya simba na mtibwa najiuliza gogoro msimbazi linaepukika kweli? Hapa wachawi lazima waongezeke zaidi ya Bobani na Nyoso. Anayebisha kama hayo hayatatokea anipesababu za hoja yake...............:wof:
 
kwani ngapi ngapi..unataka kusema simba itafata njia ya yanga kuwatandika marefa, viongozi na kutimua makocha kila kukicha huku azam nayo ikianza kuiga tabia za wazee wa EPA..
 
sasa hivi Rage watamtimua na huyo kocha mzungu hahaha pole zake
 
:confused2:

facepalm.gif​
 
kupanga matokeo ni kubaya sana mtu asikuambie..
 
kwani ngapi ngapi..unataka kusema simba itafata njia ya yanga kuwatandika marefa, viongozi na kutimua makocha kila kukicha huku azam nayo ikianza kuiga tabia za wazee wa EPA..

hamna ujasiri simba wa kufanya hivo mmeshawekwa mfukoni na msomali, mpo kama mmebendwa na msomali
 
Kwa wapenda soka la bongo naamini huwa mnafuatilia mwenendo wa ligi ya vodacom, kwa matokeo ya leo kati ya simba na mtibwa najiuliza gogoro msimbazi linaepukika kweli? Hapa wachawi lazima waongezeke zaidi ya Bobani na Nyoso. Anayebisha kama hayo hayatatokea anipesababu za hoja yake...............:wof:

Mkuki kwa nguruwe,shauri yao sisi tunakula BATA
 
kwani ngapi ngapi..unataka kusema simba itafata njia ya yanga kuwatandika marefa, viongozi na kutimua makocha kila kukicha huku azam nayo ikianza kuiga tabia za wazee wa EPA..

Haya ni maneno ya Mkosaji.
 
Kuna uhusiano wa sheikh Ponda na Farid na matokeo ya Simba?
 
Mi nilivyoona matokeo ya friendly mechi zao nilijua watani hawana team,ile kushinda mfululizo mechi za Dar nilijua ni upepo tu utapita na wataanza kuboronga,ndo kinachotokea ss hv
 
Back
Top Bottom