kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Hii ni taarifa nimejaribu kuitafuta lakini sijafanikiwa kuiona.
Nilichofanikiwa kuona ni kwamba, hawa wawili yaani marehemu George na Derek waliwahi kufanya kazi pamoja club moja ya usiku. Kwa hiyo walifahamiana. Maana George naye inasemekana alifanya kazi za security kama alivyofanya Derek.
Najiuliza sana, hii chuki iliyopo kati ya wazungu kwa watu weusi, ingekuwa kwa kiwango hicho tunachoaminishwa, je watu wangeandamana kiasi hicho kupinga tukio hilo? Kwa nini waandishi hawataki kueleza mwanzo wa stori ilivyokuwa? Je George alijaribu kupambana na askari ama alijisalimisha?
Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?akajikuta yupo chini ya gari ya Police huku shingo yake ikiwa imekandamizwa na goti la Polisi, haijulikani kama walipo fika sehemu hiyo walimpiga ngwara/mtama maanake na yeye alikuwa ni mtu wa miraba minne.
MKUU tuchukulie jamaa mwanzo kabisa alipambana na askari na hatimae wakamfunga pingu je baada yakumfunga pingu si maana yake washamdhibiti kikitakiwa kufuatwa nijamaa kutiwa kwenye gari nasafari iendeleeHii ni taarifa nimejaribu kuitafuta lakini sijafanikiwa kuiona.
Nilichofanikiwa kuona ni kwamba, hawa wawili yaani marehemu George na Derek waliwahi kufanya kazi pamoja club moja ya usiku. Kwa hiyo walifahamiana. Maana George naye inasemekana alifanya kazi za security kama alivyofanya Derek.
Najiuliza sana, hii chuki iliyopo kati ya wazungu kwa watu weusi, ingekuwa kwa kiwango hicho tunachoaminishwa, je watu wangeandamana kiasi hicho kupinga tukio hilo? Kwa nini waandishi hawataki kueleza mwanzo wa stori ilivyokuwa? Je George alijaribu kupambana na askari ama alijisalimisha?
Mkuu ile tranchea,,ile pipe inayopitisha hewa,Ina kaugumu kidogo ila ikakandamizwa ama shingo kukanyagwa ilipo huwa inabonyea kugusana na hivyo hewa haipiti,kifo huwa Ni within minutes,maana hata akikuachia,tayari tranchea imebondeka,hewa haipiti kifo Ni given unless ventilator I we karibu Sana,Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?
Sina shaka wale WAGOMVI watakuwa wamegundua style ya kummaliza mpinzani wake. Ni kukandamiza tu shingo chini kwa kutumia goti, adui kwisha habari yake!
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwaMimi bado nataka kujua huo ubaguzi upo wapi, Ni matukio ya kawaida kwa mapolisi wangi kutesa wahalifu mpaka kuwaua bila kufata taratibu husika.
Sasa lile tukio kunasibishwa na ubaguzi ndipo nashindwa kufahamu. kwa kuwa mfanyaji alikua ni mtu mweupe na mfanyiwa alikua ni Black ndio automatic inakua ndio ubaguzi?
:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa
Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine
Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata
Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa
Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga
:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
unadhani alosababisha haya nani ?!Black wakiamua wanaweza nini? Blacks ni watu wa ovyo kabisa kwenye ulimwengu, Hayo maandamano yanapewa nguvu na wazungu pamoja na vyombo vya habari vya kizungu.
Ila kama ingelikua ni mablack watupu pangelikua pashatulia ndani ya siku 3.
naam uko sawa kabisandani ya bara la Africa kuna ubaguzi mkubwa Zaidi kuliko hata huo wa U.S, umewahi ubaguzi wakidini, ubaguzi wa kikabila, ubaguzi wa kiitikadi za vyama.
TZ imefika hatua ukigundulikana ni mfuasi wa vyama vya upinzani ajira kwenye serekali uisahau, Hivo ndivo tunavyoishi huku. Sasa hayo ya huko ni kudeka tu
Paragraph ya kwanza imenitoa chozi,duu inauma sana,kuna vifo vinasokitisha sana,kama huyu bro,Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?
Sina shaka wale WAGOMVI watakuwa wamegundua style ya kummaliza mpinzani wake. Ni kukandamiza tu shingo chini kwa kutumia goti, adui kwisha habari yake!
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa
Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine
Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata
Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa
Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga
:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
Haikua ajari kazini Mkuu, yule Askari ni kama Israel aliyekuja kuitoa roho ya Marehemu.Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa
Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine
Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata
Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa
Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga
:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
Wazungu ndo wapingaji wakubwa wa ubaguzi, uruhusu ubongo wako uwe free utagundua hilo, tukio la mauji ya George mtu mweusi asilimia kubwa wanaoandamana kupinga ni wazungu, anzia Marekani kwenyewe, njoo ulaya na Australia watu wanaandamana kupinga mauaji ya George, Sasa jiulize wapi India, waarabu, China, Waajemi, Afrika, nk. Kwa nini maandamano yako nchi za wazungu tu?! Jibu ni muhimu.MKUU tuchukulie jamaa mwanzo kabisa alipambana na askari na hatimae wakamfunga pingu je baada yakumfunga pingu si maana yake washamdhibiti kikitakiwa kufuatwa nijamaa kutiwa kwenye gari nasafari iendelee
Kama alileta vurugu hatimae akawa mpole ama akaleta vurugu wakamkandamiza nagoti pale chini wakat anapiga kelele kama anakufa jamaa hajali jamaa anatokwa nahaja polisi hajali
Ubaguzi wawazungu kwawatu weusi sio tu upo ni upo sana eidha unajua ama kweli hujui kwakua hujawahi kuuona ama hujawahi kuusikia basi ?!
Pia sio wazungu wote wabaguzi wengine wazungu ila wanajiona mafala tu hawababaishwi na hivyo virangi mtu anamsemo wakiswahili kabisa anakwambia namimi naenda haja kama kawaida yanini kujiona bora !? Hao wanaojiona bora ma fu*** tu nimenukuu maneno yamzungu mmoja tu
Watu weusi inabidi wakamatie hapo hapo walipokamata ili heshima irejelee.....
Nimekuelewa mzee .Haikua ajari kazini Mkuu, yule Askari ni kama Israel aliyekuja kuitoa roho ya Marehemu.
Jamaa kaenda kununua Sigara kwenye Duka ambalo yeye ni Mteja wa siku zote, na wanafahamiana mpaka na Mmiliki...
Muuzaji anahisi Noti alopewa ya $20 ni fake, anamwambia jamaa arudishe Sigara jamaa anakataa, Muuzaji anapiga Simu Police, baada ya Dakika 7 Police wawili wamefika, mmoja Mzungu mwingine JAMII ya Asia, wanamfata Jamaa kwenye Kona ya Mtaa ambapo Alikua amekaa na mwenzie kwenye Gari....
Wanamchomoa Jamaa, Jamaa Aleta Ubishi, Wanatumia Nguvu wanafanikiwa kumfunga Pingu, wanampeleka kwenye Gari yao ili wamwingize ndani jamaa analeta Ubishi, anawaambia Police yeye huwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa kuwa na Hofu, hivyo anaogopa, Police Wanatumia nguvu wanamwingiza kwenye Gari....
Inakuja Gari ingine ya Police ikiwa na Police 3 na Muuzaji wake akaenda straight ilipokua gari ya Police wa mwanzo, Akamvuta Jamaa toka kwenye Siti za gari mpaka akaanguka chini (ile picha ambayo wengi tumeiona ni baada ya kumchomoa jamaa kwenye Siti kwa nguvu mpaka kuanguka chini)
Akamgandamiza na Magoti yake kati ya Shingo na Mgongo, kwa muda wa Dakika 8.... (ni kama alikua anajua anachokifanya) baadaye inaonekana kama Jamaa kazimia but Bado hakumwachia, baada ya kulegea zaidi Raia Wanamwambia Police amezimia, utamuua, mtizame kwenye mishipa tuone kama bado yupo Hai, Ndo Police anamwachia, yule Police JAMII ya Asia anacheck Mishipa ya Damu haoni hata mmoja!!
Wanambeba kumpeleka Hospital, inatangazwa baada ya saa 1 kafariki.
Unaweza kusema Ajari kazini Mkuu!
Usiwe mtu wa kupinda pinda Kwani nawe ni Police....
Jamaa aliuwawa.... Period!