Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?


well.., i guess its a honest misunderstanding.
 

hope this sheds light qn-shebba
 

SIERA LEONE siyo French speaking Country ni English Speakers mkuu karudie kupitia desa lako tena. Halafu vipi kuhusu UGANDA after independence was it peaceful? Sasa hivi vipi na Lord resistance ya Joseph Kony?

Vipi kuhusu Gambia nao ni French speakers?

Ingawa ni kweli kuwa Francophones ndiyo zinaongoza kwa machafuko lakini hata wengine wamo pia
 
Inategemea na karne... ukiweka kimahesabu zaidi utakuta zilizotawaliwa na Mwingereza ndizo zinaongoza kwa kupigana...au karibu zote zimeshapigana ikiwemo Marekani mbabe wa vita
Tuongelee hizi za kiafrika. Kuna ukweli kiasi kikubwa kuwa effects za assimilation policy zinayatafuna mataifa haya ya Africa.
Halafu hawa jamaa (France ) hufurahia hali hii.
Mfano mzuri ni wakati wa genocide kule Rwanda walikuwa wanacheza basketball wakati wanyarwanda wanauana.
 
Mi nnavyoona ni kuwa wanaopigana wanajitambua na kudai haki zao, sasa hao ambao hawapigani na kuzidi kukandamizwa inasaidia nn. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…