Kwanini Fatma Karume siku hizi "kajitenga" na CHADEMA

Hujui kuwa huyo ni Mzanzibar na ndio wanaongoza Watanganyika
 
Mpeni bei shangazi awape shavu CCM ila jitayarisheni kusasambuliwa nae tena hadharani.

Kwani mbona wewe pia ulifika bei kwa CCM ukafungashiwa virago na CHADEMA.
Tulia tu huo umbea wako haujakunufaisha hadi sasa?
 
Jikite kwenye hoja
 
analala mlango wazo akisubiria uteuzi, zile kelele ilikuwa njaa
 
Jikite kwenye hojakwa hoja

Jikite kwenye hoja
Kwa hoja ipi uliyoitoa hapo???
Nimesema chama siyo mtu au majengo! Ni itikadi waliopo chadema hawajamfuata mbowe wala mnyika. Kama mlivyodanganyana kwamba ukiwanunua wabunge na kuwapa uwazir umeua chadema. Waliopo pale wamefuata itikadi na mawazo mbadala dhidi ya ccm iliyoshindwa kuwapa wananchi umeme wala maji miaka 60 baada ya uhuru.
 
CCM wameona warudi tena kwenye hoja ya ushoga, walianza na Lissu sasa wamehamia kwa Shangazi kazi kweli kweli, mtu ukibanwa sawa sawa na njaa huchagui mboga.
 
Hii ni pumba.
Trivialities.
 
Hawa bado wanapambana na marehemu kuharibu legacy yake. Ni watu wa hovyo sana wako tayari wananchi wateseke ilimradi waharibu legacy ya JPM. Kwa sasa wanapambana kuhakikisha bwawa la Nyerere halikamiliki.
Hujui Kama mwendazake ndo alitesa watu? Aliua kila kitu na kupoteza watukwa kutumia watu wasiojulikana
 
Kwahiyo tumeamua kuwa Kigogo ni Didier Mlawa au ndio inabidi tujie hivyo sasa tutafanyaje.

Hii nchi ina vijana wapuuzi na wa hovyo sana.
Ilimradi Didier mwenyewe hakuwahi kukanusha, sio mbaya tukiamini hivyo.

Hakuna nchi yenye vijana smart pekee, dunia mzima iko hivyo.
 
Ongeza hawa kwenye orodha yako.
1. Kigogo... Didier Abdallah Mlawa
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Mange Kimambi..

Wote waliohisi kutengwa na JPM kichaka chao kilikuwa Chadema
Didier Abdala Malawa. Huyu ni jamaa wa mishe saana toka akiwa SUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…