Soma vizuri comment yangu "Wanatangazwa kuunga mkono CUF". Najua kuna propaganda za Udini lakini ni nani aliyekanusha wito wa Makamu mwenyekiti wa CUF pale jangwani wa kuwataka Waislamu wote wajiunge CUF? Sio Waislamu wenye wala Uongozi wa CUF uliokanusha, what does it imply?
lengo lako ni nini? Kupata mapandikizi kila kona sio?hii nssf nafikiri unaitazama kijuu kijuu.
Hebu fuatilia tokea kuanzishwa kwake 1967 utaona wapi umeilipo kupuruchuka.
Mimi nikiwa wizara ya fedha nakumbuka nilifana nao sana kazi hawa wakti huo ikiitwa npf (national provident fund) chini ya saguti na baadae oming'o na baadae mh mkullo.
Chunguza kwanza hilo kisha linganisha na baraza la mitihani tokea kuanzishwa kwake taza katibu mtendaji wake na manaibu katibu watendaji wake wote. Utaliona dhahir shahir.
Lakin vile vile kuna mifuko mingi siku hizi huko tz kama ppf, gpf , nssf etc. Kwanini dr dau tu?
Nina uhakika na nilichobainisha.
Kuhitilafiana ki rai hili ni jambo la kawaida sana, ila sijui ni utata upi unaomaanisha.Nimejifunza kitu hapa! Lakini kwanini kuna kuwa na kauli tata toka kwa viongozi wenye Ilimu? Ushekhe unasomewa chuo kipi?
Nadhani sasa ifike mahali Waislamu wanatakiwa kujitathmini kuhusu nini wanataka katika nchi hii. Kwa kifupi mimi binafsi naona kama hakuna jambo wanalolianzisha wakalimaliza na kupata matokeo wanayoyahitaji. Sisiti kutamka kuwa wengi wao wanatumika tu kama ngazi ya kuwafikisha mahali fulani "Waislamu" wenzao ambao ni werevu na wenye ajenda za siri kwa mgongo wa imani ya Kiislam. Kwa uchache ni kwamba waislamu walitaka Mahakama ya Kadhi, hata kabla ya kupatikana mahakama hiyo tayari wameanza kuzurugana wao kwa wao. Wanataka kupewa nafasi za upendeleo katika uongozi wa nchi, eti kuwe na uwiano wa madaraka katika taasisi za umma. Aidha wanataka wapewe nafasi za ukuu wa taasisi zote zile ambazo kutoka zilipo asisiwa hazijawahi kushikwa na Waislamu. Hayo ni mawazo yao, je wanasemaje kuhusu safu za uongozi katika serikali zetu mbili ( Muungano na SMZ)? Je, nao wa upande wa pili wapige kelele? Juzi kuna wananchi wenzetu wametenda kosa la jinai kwa kugomea kuhesabiwa "Waislam" wameandama hadi makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani na kushinikiza kuachiwa kwa "Waislam" wenzao waliokamatwa kwa kuvunja sheria? Muitikio wa serikali katika hilo sote tunaufahamu, sasa wanataka kulazimisha Dr. Ndalichako ang'olewe hivi "Waislam" sasa wamekuwa ni "pressure group" au ni "Wanaharakati"? Kama ndivyo kwanini basi wanachagua matukio? Pale Morogoro Kuna "Muislam" alipigwa na "kitu kizito" kilichorushwa na "wenye nchi" akafa mbona sikuona "Waislam" kuishinikiza serikali ifanye uchunguzi wa kilichoondoa uhai wa Marehemu pale Morogoro au yule bwana hakuwa "Muislam"?Binafsi sioni sababu ya yeye kubakia hapo. Kwano kosa kama hilo la kiutendaji ni kubwa sana kwa jamii hasa ukizingatia kuwa limefungamana na mambo ya kiimani. Ikumbukwe ni siku nyingi sana waislam hao hao wa Tanganyika wamekuwa ma msururu wa malalamiko ya kudhurumiwa haki zao na Serikali yao.
Lakin ni funzo sana kwa Serikali ya JMTz kujifunza zaidi ikiwemo pamoja na kulifanya Baraza hilo la Mitihani kuwa na SURA YA MUUNGANO. Kwa kuamua kama Katibu mtendaji atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atoke upande wa pili wa Muungano kama ilivyo kwenye taasisi na wizara zote zenye sura ya Muungano kama BOT etc.
Lakin vile vile ikumbukwe tokea kuanzishwa kwa baraza hilo viongozi wake wakuu kama katibu mtendaji mkuu na naibu wake wote wamekuwa wakristo. Hakuna muislam hata mmoja na hapo ndipo panapozidisha mashaka kwa chombo hicho.
lakin mwisho za mwizi arobaini. sasa ukweli umedhihiri. Laazima Katibu mtendaji mkuu wa Baraza hilo lazima awajibike kwa kujiuzuru ikiwemo pamoja na kuwafikisha mahakamani kutokana na kuwa athri watoto hao kisaikologia na kuwapotezea muda wao.
na hyo ndo alitakiwa awe wa kwanza kisha wengine wafuate, bado ameng'ang'ana kuwepo hapo, na hao wanaodai ndalichako wao hwamuoni mwenzao ndo kawasaliti, shukuru kwanza ndo tuende kwingineko.
Wizara ya ...
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Elimu...
.
Barubaru, kuna waziri aliyekuwa akiingoza hii wizara naye vipi? amefaurisha wanafunzi zaidi ya 5,000 hawajui kusoma na kuandika, mi napendekeza Dr. Shukuru Kawambwa nae angejiuzuru, kwasababu kama zaidi ya madenti 5000 wamefauru while hawajui kusoma wala kuandika sasa hao waliofeli hawajui nini?
Mark unafurahisha!kwelikweli! mtu akisoma hii post yako atafahamu tu kuwa kuna tatizo katika kufikiri kwako. Mtu mzima lazima utoe hoja, na hoja iwe na mshiko. Haiwezekeni wafanyakazi wa Baraza wote wawe RC. Hivi katibu mkuu wa baraza kesho akiwa muislamu na watu wa chini yake wakifanya makosa tunamtoa na kumweka mkristo! au tunamtoa kwa sababu ya dini yake?Unajua kwa mtu anayefatilia isue za waislam atakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakitoa malalamiko yao kwa njia za kidiplomasia lakini kila suala waliloliendea kwa njia za kidiplomasia serikali ilitia pamba masikioni sasa wamesha ona hizo njia hazina mpango nao kwahiyo wanaloamua walifanye watalifanya tu wala hakuna wakuzuwia. Pia kwa kipindi kirefun sana magazeti na TV ni vyombo ambavyo kupia wahariri na waandishi wa hivyo vyombe hupotosha habari za waislam, hilo waislam wote wanalijua kwa hiyo haliwashughulishi tena, narudia haliwashughulishi tena, tena mkiona namna gani vipi muache tu hata kureport habari zinazowahusu waislam.
NECTA ni kitengo cha parokia, wafanya kazi wote wa baraza ni waRC does it mean kwamba pale wengine hawana sifa ya kufanya kazi?
NDALICHAKO BORA UJIONDOA MWENYEWE USISUBIRI KUAIBISHWA ZAIDI KWANI MAANDAMANO YALIYOENDA KWA NCHIMBI YALIKUWA CHA MTOTO, NA HATUTOONDOKA MPAKA UMEFUNGASHA MAKABURASHA , ukawe katibu mkuu wa mitihani kanisani kwenu. Tumechoka kuonewa
Dr Ndalichako ameolewa na Muislam, NADHANI amesilimu.
Kwanini Nchimbi , IGP Mwema, Kamanda Kamuhanda hawajiuzulu kwa tukio la Iringa, hivi tukio na NECTA na Islamic knowldge lipi Ni baya na ambalo linahitaji watu wawajibike, Hivi nyie ndugu zetu (Waislam ) Baadhi yenu Vichwa vyenu vimejaa Madudu au Matope
Mark unafurahisha!kwelikweli! mtu akisoma hii post yako atafahamu tu kuwa kuna tatizo katika kufikiri kwako. Mtu mzima lazima utoe hoja, na hoja iwe na mshiko. Haiwezekeni wafanyakazi wa Baraza wote wawe RC. Hivi katibu mkuu wa baraza kesho akiwa muislamu na watu wa chini yake wakifanya makosa tunamtoa na kumweka mkristo! au tunamtoa kwa sababu ya dini yake?