Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

scramble

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
1,593
Reaction score
257
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo.

Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea.

Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia.

Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?
 
Another ----......ni wapi alisema nchimbi azomewe.....??
 
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukmbini, je Slaa kweli anapenda amani?

Ubongo wako nashindwa kuutofautisha na wa Konokono
 
Dr. Slaa tamaa ya pesa ya Josephine ndiyo inayompeleka peleka lakini alikuwa mtu mzuri kabla hajaanza kujihusisha na Josephine.
 
Another ----......ni wapi alisema nchimbi azomewe.....??
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa
 
alishasema nchi haitotawalika...........lazma damu imwagike.......so no woder at all.....!!!!!!!!!!! slaa ni mchukia amani namba moja tanzania:bored:
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?
 
Mod huyu kijana muongo. Dr hakusema heri nchimbi atoke alichosema dr ni kuwa kama angevaa uhalisia wa uwaziri wa mambo ya ndani kama nchimbi kwa kipindi cha pale leo angetoka nje kwa jinsi mambo meng yaliyokuwa yanaelezewa kuonekana polisi ndio wahusika.Watu kama hawa ndio wanaoshusha heshima JF.
 
Umelewa kitu fulani wewe. Wewe ulitaka Dr. Slaa amsifie Nchimbi, Polisi na CCM kwa kipi wakati raia wanauawa, wanateseka na kubambikiwa kesi kila kona ya nchi.

Unafiki ni tabia na utamaduni wa CCM, ndio maana hujui ulimwengu mwingine tofauti na ule wa kwenu wa kusifiana na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Ni kwa nini Nyerere alikataa jina la Malecela kwenye mbio za Urais in 1995....?
Ukipata jibu litakusaidia kupata uhalisia wa leo pia.
 
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa

Kwa nini unashawishi watu wahisi ulichohisi....dont live in assumptions!
 
Bila maneno ya chuki na uchochezi dr slaa na cdm hawawezi kuwa na ushawishi ki siasa.
 
Ndio mwisho wako wa kufikiri hapo. Unasikitisha mnoo!!! Eti nawe unataka kuwa mbunge!!!! Dah!!!!

Dr. Slaa tamaa ya pesa ya Josephine ndiyo inayompeleka peleka lakini alikuwa mtu mzuri kabla hajaanza kujihusisha na Josephine.
 
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa

Una uhakika gani kuwa maneno yale yangeweza kusababisha azomewe?!
Kuelewa maneno ni kitu kimoja ila kutoa tafsiri ni jambo jingine ambalo sio wengi wanaweza!!
Wewe umetafsiri kwa uwezo wako, akija mwenye akili timamu atatafsiri vingine!
 
Dr.Slaa anaipenda amani wewe ndio hupendi amani, kaongea ukweli sasa ulitaka aongee nini? ulitaka amsifie Nchimbi wakati hastahili kusifiwa. Amani inatoweka mikononi mwake na anaona, kazi yake ni kusema tunafuatilia, tunafanya uchunguzi, tutahakikisha wahalifu wanakamatwa na hawakamatwi. wahalifu wamekuwa na nguvu kuliko polisi, wanafanya uhalifu hadharani na hawakamatwi matokeo yake wanapewa ushirikiano mzuri na polisi. Bado tu unataka Nchimbi asifiwe, unaakili wewe?

mpaka auwawe ndugu yako ndio ujue kuwa amani haipo. hayo yote usidhani hawajui, wanaelewa vizuri sana A mpaka Z WANAJIFANYA wanaguatilia. watuhumiwa wasio na makosa ndio wanakwamatwa chap chap.
 
slaa ni janga kama ameweza kuasi ndoa,familia na upadri atashindwa kuasi nn .
 
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?
Ina maana kumgeukia mtu ndo alikuwa anawaambia watu wamzomee?hii ni akili kuwa ndogo! WAPI ALIWAAMBIA WAMZOMEE? Tumia kichwa kufikiri!
 
Back
Top Bottom