Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,125
- 6,141
Katika moja ya hesabu ambazo zinatumika sana kwenye physics basi differential equation ni moja wapo na zimesashatumika maeneo yafuatayo;-
Hata sasa hivi tunaweza tumia differential equation kwenye mambo yafuatayo;-
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA SANA KWENYE DIFFERENCE EQUATION
www.jamiiforums.com
- Newton alitumia differential equation
- Schrodinger alitumia differential equation
- Albert Einstein naye alitumia differential equation
Hata sasa hivi tunaweza tumia differential equation kwenye mambo yafuatayo;-
- Kuderive formula ya Kupredict protein mutation
- Kuderive methods/formula ya kutengeneza Artificial ozone layer
- Kuderive methods/formula ya kuvuna waves kutoka kwenye mwezi kwa ajili ya Bluetooth
- Kuderive method ya kutengeneza mota yenye speed zaidi ya mwanga
- Kuderive methods ya kuignite in-active star kama Jupiter ili ziweze kuchoma oxygen
- Kuderive method ya kutengeneza sayari from scratch
- Kuderive method kuondoa half life kwenye nuclear waste
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA SANA KWENYE DIFFERENCE EQUATION
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...