Nakuelewa..Ndio
Inatakiwa uwasiliane na mtu aliyeko Mercury au Pluto instantly njia moja wapo ni kutumia wave zinazozalishwa na Natural satellite kama mwezi, titan, Europe kupitia Bluetooth watu waweze kuwasiliana
Ahahahaha mkuu nisielewe differentiation mimi...Mambo haya mtu kama Poor Brain hawezi kuelewa
Haya mambo huko kwao yanaishia kuendeshea bodaboda kwa tairi moja tena speed kali sana huku wamelala kwenye tank la mafutaKatika moja ya hesabu ambazo zinatumika sana kwenye physics basi differential equation ni moja wapo na zimesashatumika maeneo yafuatayo;-
- Newton alitumia differential equation
- Schrodinger alitumia differential equation
- Albert Einstein naye alitumia differential equation
Hata sasa hivi tunaweza tumia differential equation kwenye mambo yafuatayo;-
- Kuderive formula ya Kupredict protein mutation
- Kuderive methods/formula ya kutengeneza Artificial ozone layer
- Kuderive methods/formula ya kuvuna waves kutoka kwenye mwezi kwa ajili ya Bluetooth
- Kuderive method ya kutengeneza mota yenye speed zaidi ya mwanga
- Kuderive methods ya kuignite in-active star kama Jupiter ili ziweze kuchoma oxygen
- Kuderive method ya kutengeneza sayari from scratch
- Kuderive method kuondoa half life kwenye nuclear waste
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA SANA KWENYE DIFFERENCE EQUATION
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Ni differential equation Mkuu haipo kwenye BAM Hii😂😂Ahahahaha mkuu nisielewe differentiation mimi...
Ujue BAM nilitoka blna kijiti mwanangu
Weee BAM tunapiga differ na integr mkuu japo hatuendi deep....Ni differential equation Mkuu haipo kwenye BAM Hii😂😂
BAM kuna differentiatiation na integration ila hakuna differential equation kaka😂Weee BAM tunapiga differ na integr mkuu japo hatuendi deep....
Hapa kwenyewe napiga sana hizo differential by first principle
Differential ni ngumu sana kuliko differentiation na integrationBAM kuna differentiatiation na integration ila hakuna differential equation kaka😂
Differential equation ni tofauti na calculasCalculas..
Wazee wa QM na ECONOMETRICS MPO?
Duh!...Kuderive methods/formula ya kuvuna waves kutoka kwenye mwezi kwa ajili ya Bluetooth
- Kuderive methods ya kuignite in-active star kama Jupiter ili ziweze kuchoma oxygen
- Kuderive method ya kutengeneza sayari from scratch
Karibu uchangieDuh!...
Kwahyo ww unataka kusema yale madude sio ma equation...BAM kuna differentiatiation na integration ila hakuna differential equation kaka😂
dy/dx ni ipi sasaBAM kuna differentiatiation na integration ila hakuna differential equation kaka😂
Faza mi nimesoma vitu vigumu snaa.Differential ni ngumu sana kuliko differentiation na integration
Anasema sio equationdy/dx ni ipi sasa
Yaani kiufupi anasema kwenye BAM kuna utoto mwingidy/dx ni ipi sasa
Kiufupi anasema wasoma.bamu ni viazidy/dx ni ipi sasa