Kwanini Differential equation?

Kwanini Differential equation?

0

Nadhani 0 kihesabu ni magic number, wakati mwingine inamaanisha hakuna kitu wakati mwingine haimaanishi hivyo,mfano ni 0 hapo ni hakuna kitu,laki 10 hapo sifuri haimaanishi hakuna kitu
Sielewi ikiwa sijui 'kuzidisha' maana yake nini au 0 maana yake nini
Lakini tukirudi kwenye uhalisia, sielewi kwa nini watu 1000 ukizidisha mara sifuri,hao watu elfu moja hupotea wote
Ili mradi tupo tanzania ni swala la muda tu, kila mtu atachanganyikiwa!
 
Differential ni ngumu sana kuliko differentiation na integration

Differential equation ni tofauti na calculus
1753484437627.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom