Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?
Habari wana JF!
Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...
Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM
Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla
Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg
Na nyingine nyingi tu!!
JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.
Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!
Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??