Kwanini Dennis huongelei mambo ya sasa ya siasa nchini au unaogopa

Kwanini Dennis huongelei mambo ya sasa ya siasa nchini au unaogopa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Hizi ni aina ya sms nazoipata nyingi sana kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiuliza kwanini siongelei mambo ya siasa ya sasa ya nchini yafuatayo ndo majibu yangu
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Fahamu kwamba katika point ya historia ya dunia Tanzania itakuwa super-power sio milele hapana kwa miaka kadhaa miaka 300 au 400 ni lini sijui inaweza ikawa 2100, 2200, au hata 2500

Mimi kazi yangu ni kuweka huo msingi na kuiandaa nchi ya Tanzania kuwa superpower lazima itakuja kuwa super power hilo nakuhakikishia unasema inawezekanaje Mambo mengi leo tunayoyafanya mengi yalipiganiwa au yaliwekewa msingi miaka mingi iliyopita

Mambo yote niliyokuwa nikiongelea kama
  1. Tanzania kuwa industrial super power kupitia viwanda vya awali (smelter & refining)
  2. Mambo ya space- Tanzania itakuja kuwa dominant kweny space exploration na colonisation
  3. Tanzania itakua dominant kwenye eneo zima la pharmaceutical na life science
  4. Mambo ya uchumi

Kupitia tu hayo mambo manne kila mda naumiza kichwa ili baadhi yatimie na mengine watafanya vizazi vijavyo na kuweka msingi wa vizazi vijavyo wakija wakute tayari kuna benchmark na wawe na uthubutu wa kufikiria tofauti na sasa sababu mtanzania na mwafrika hajapewa uthubutu

Mtoto atakayezaliwa mwaka 2025, 2050, 2100, 2200, au 2800 atakuta tayari kuna msingi tayari,

MAJIBU YANGU JUU YA HALI YA SIASA NCHINI
Haya mambo yanayofanyika kwa sahivi kwa asilimia kubwa ni uthibitisho tunawatu ambao wanajipigania wao na familia zao, na hichi wanachofanya ni mbio za sakafuni
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
Hilo hapo juu ndo jibu langu ambalo ni fupi sana


Kwa hiyo kwa pamoja tufocus na Big picture sababu ndo mambo ya msingi kwa sababu kinachokuja mbeleni ni kikubwa na kinahitaji maandalizi

MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU URITHI NTAKAO WAACHIA WATANZANIA NA DUNIA NZIMA NI IDEAS, HYPOTHESIS NA MERHODS NA FAHAMU URITHI WA KWELI NI IDEAS AMBAZO HAZIISHI KAMA ILIVYO FEDHA NA WATAZITUMIA KUTENGENEZEA UTAJIRI

SISI WAAFRIKA TUNACHANGAMOTO KUBWA YA KUTOWAACHIA WATOTO WETU IDEA WAZUNGU KWENYE HILI WANAJITAHIDI SANA NDO WANAKUWA DOMINANT SABABU URITHI WALIOACHIWA NI IDEA

 
SISI WAAFRIKA TUNACHANGAMOTO KUBWA YA KUTOWAACHIA WATOTO WETU IDEA WAZUNGU KWENYE HILI WANAJITAHIDI SANA NDO WANAKUWA DOMINANT SABABU URITHI WALIOACHIWA NI IDEA
 
Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
 
Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
Ahsante kwa kushiriki na karibu tena
 
Back
Top Bottom