Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,085
Tuanze Kwanza kwa kuuliza. Mfano ukaenda hospitali unaumwa kisha ukaambiwa daktari anayetakiwa kukutibu ana GPA ya 3.1, utakubali kutibiwa nae ?Wakuu habari za jioni.
Naomba kujuzwa ni kwanini Shahada ya Utabibu/Medical Doctor (MD) au Shahada ya Utabibu wa Wanyama/ Bachelor of Beterinary Science (BVM) hazijaweka kwenye makundi (e.g. first class or upper second class,etc) kama zinavyowekwa shahada nyingine?
Hii ndiyo sababu ya msingi. Ukiweka klasses basi tutatundika degree zetu ukutani. Unatakiwa ule mkasi sasa Dr. wako Masiya kapiga GPA 2.0 na hapo hapo yupo Dr. Kipanga kapiga 4.5 mambo yatakuwaje. Lakinivyuo vingine vinatumia GPA bali haziwekwi kwenye vyeti na hutumika kwa kuamua academic issues tu kwa kutumia transcript.Tuanze Kwanza kwa kuuliza. Mfano ukaenda hospitali unaumwa kisha ukaambiwa daktari anayetakiwa kukutibu ana GPA ya 3.1, utakubali kutibiwa nae ?
Wakuu habari za jioni.
Naomba kujuzwa ni kwanini Shahada ya Utabibu/Medical Doctor (MD) au Shahada ya Utabibu wa Wanyama/ Bachelor of Beterinary Science (BVM) hazijaweka kwenye makundi (e.g. first class or upper second class,etc) kama zinavyowekwa shahada nyingine?
Ooh,,Mnakuwa consider wote mpo sawa hakuna aliemzidi mwengine
Kwa kiwango hicho cha elimu yenu
Ipo hivyo mkuu .ndio maana kusoma masters (shahada ya uzamili) ni easy kwao kuliko kwa zile digrii zenye madaraja.Sikujua kama iko hivyo
Mbona watu wa maabara, wauguzi, na wafamasia ambao pia wana deal directly na afya mwanadamu digrii zao zina madaraja!??Tuanze Kwanza kwa kuuliza. Mfano ukaenda hospitali unaumwa kisha ukaambiwa daktari anayetakiwa kukutibu ana GPA ya 3.1, utakubali kutibiwa nae ?
I've a degree in Engineering, so I know nothing about MD. Chochote kilichopo kwenye maandishi yangu ni mawazo yangu tu, it doesn't necessarily have to be correct reason to the posed question.Mbona watu wa maabara, wauguzi, na wafamasia ambao pia wana deal directly na afya mwanadamu digrii zao zina madaraja!??
Bado hujanishawishi.
Kwa hiyo hili ndio jibu? Ukama ni ugumu md anasoma wanyama wangapi na bvm anasoma wanyama wangapi?Elimu ya MD sio ya mchezo, ukimaliza unashukuru Mungu [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Kwa hiyo hili ndio jibu? Ukama ni ugumu md anasoma wanyama wangapi na bvm anasoma wanyama wangapi?
In reality ni kwel hamuwez mkawa sawa ila ndo hivyo kwa hizo degree wote mnakuwa considered mnauelewa sawaOoh,,
Lakini in reality wahitimu wanakuwa wamefaulu sawa kweli!?.
Unataka kuniambia hakuna best students!?