baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 5,870
- 12,429
Tatizo lenu moja kwanza mnaforce Cobalt ni batteries hio mistake ya kwanza.Acha porojo nyingi, simu na laptop za juzi tu hapo ambazo tulikuwa tunatumia ambazo betri zake hazikuwa built in ambazo watu walikuwa wanaweza kuzibadilisha na wanaenda kuchajisha betri vibandani zilikuwa zinatumia betri za NiCd-Nickel-cadmium na NIMH.
Simu na Laptop za kisasa ambazo huwezi kuchoma betri(built in batteries) na vifaa vingine vingi pia ndizo zinatumia Cobalt kwa wingi na ni ujanja wa kibiashara uliogunduliwa na makampuni ya electronics ili watu watumie simu na laptop kwa muda mfupi, wasiweze kubadilisha betri au vifaa vingine kwa urahisi wawe wananua simu mpya kila mara. Sio necessity
Ushahidi wa Cobalt uko wapi kwenye hiyo picha yako ya betri?!Tatizo lenu moja kwanza mnaforce Cobalt ni batteries hio mistake ya kwanza.
Pili si kweli mnachosema utakuwa unachanganya li-po na Li-ion battery za zamani pia ni lithium zenye Cobalt
Ushahidi huu hii battery ya Nokia ambayo tumetumia kwenye vitochi na makobe kuchaji
View attachment 3198821
Tatu, kuna Variety kibao za Betri za Nickel zinatumia Cobalt.
Ni hivi, soko kubwa la Cobalt kwa zaidi ya 70% kwa sasa ni kwenye betri za magari na vifaa vya electronics.Tatizo lenu moja kwanza mnaforce Cobalt ni batteries hio mistake ya kwanza.
Pili si kweli mnachosema utakuwa unachanganya li-po na Li-ion battery za zamani pia ni lithium zenye Cobalt
Ushahidi huu hii battery ya Nokia ambayo tumetumia kwenye vitochi na makobe kuchaji
View attachment 3198821
Tatu, kuna Variety kibao za Betri za Nickel zinatumia Cobalt.
Battery za lithium cathode zake ndio zinatumia Cobalt? Battery zote zenye density kubwa kama simu na Laptop cathode zake ni Cobalt,Ushahidi wa Cobalt uko wapi kwenye hiyo picha yako ya betri?!
Volume sawa sababu gari lina battery kuubwa, ila haimaanishi umuhimu kwenye vifaa vingine ni mdogo.Ni hivi, soko kubwa la Cobalt kwa zaidi ya 70% kwa sasa ni kwenye betri za magari na vifaa vya electronics.
Una kichwa kizito sanaNi upumbavu wa Wacongo wenyewe, mengine yote ni excuse za kipumbavu.
Mtu nchi yake iko vitani yuko somewhere ughaibuni hana hata uchungu unamsikia "papaa nikufege juu ya nini, mie ni myuzisiee". Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga ndiyo alisababisha watu kutokuwa na uzalendo, alifanya watu wakapoteza uzalendo kwa jinsi alivyoiongoza nchi kiubinafsi kama Tanzania inapoelekea watu wanapoteza uzalendo kwa jinsi nchi inavyoendeshwa kiubinafsi.
Cobalt sio material muhimu kwenye circuit isiyo na mbadala, inatumika kwa kiwango kidogo sana na imeanza kutumika kwenye circuits miaka ya mwanzoni 2000's. Mahitaji makubwa ya Cobalt yamekuja baada ya kuanza kutumika kwenye betri na hapo ndipo hata kelele nyingi za uchimbaji Cobalt huko DRC zilipoanza na kuwa kubwa.Volume sawa sababu gari lina battery kuubwa, ila haimaanishi umuhimu kwenye vifaa vingine ni mdogo.
Circuit zinatumia material kidogo ila ni muhimu zaidi, uzalishaji mafuta unatumia kidogo ila ni muhimu zaidi, battery za simu ni ndogo ila muhimu zaidi etc.
Hizi hapa zote ni aina ya cathodes,Battery za lithium cathode zake ndio zinatumia Cobalt? Battery zote zenye density kubwa kama simu na Laptop cathode zake ni Cobalt,
Utasemaje aliachiwa Kila kitu wakati walimpiga sanctionsSio kweli, Tanzania mbona tuna rasilimali na hakuna waasi. In fact wazungu wanajichotea almasi tu dhahabu kwa mikataba mibovu ndio sembuse watake vita.
Unataka kuniambia DRC bila vita hao viongozi hawahongeki?
Tuache kusingizia wazungu, hata Mugabe aliachiwa kila kitu ila bado nchi ikamshinda kwa kunuka ufisadi.
We jamaa wewe sometime unaropoka vitu ambavyo huvijui, Miaka na Miaka Cobalt tumizi lake la kwanza ni kutengeneza Alloy, Cobalt inakaa mda mrefu na ni ngumu haichakai, kuanzia Ndege yale ma panga, yake mpaka binadamu replacement ya magoti ama kiuno inatumika Cobalt, kifupi sehemu yoyote yenye joto inayo taka kitu kama chuma kinachodumu inatumika Cobalt.Cobalt sio material muhimu kwenye circuit isiyo na mbadala, inatumika kwa kiwango kidogo sana na imeanza kutumika kwenye circuits miaka ya mwanzoni 2000's. Mahitaji makubwa ya Cobalt yamekuja baada ya kuanza kutumika kwenye betri na hapo ndipo hata kelele nyingi za uchimbaji Cobalt huko DRC zilipoanza na kuwa kubwa.
Cathode nyengine hazitumiki kwenye simu ni LiCoO2 ndio inatumika kwenye simu, ni basic kabisa hii, we endelea ku google.Hizi hapa zote ni aina ya cathodes,
lithium cobalt oxide (LiCoO2), lithium manganese oxide (LiMn2O4), lithium iron phosphate ( LFP), lithium nickel manganese cobalt oxide ( NMC).
Nani alikuambia??Cathode nyengine hazitumiki kwenye simu ni LiCoO2 ndio inatumika kwenye simu, ni basic kabisa hii,
You are better than this, kama nimeongea uongo prove otherwise maneno ya kizaramo hayasaidii chochoteNani alikuambia??
Tatizo unaongea uongo mwingi sana na kwa umahiri mkubwa sana kiasi kwamba inaonekana sio tu kama unapotosha makusudi bali unauamini kabisa uongo huo kama ukweli au facts.You are better than this, kama nimeongea uongo prove otherwise maneno ya kizaramo hayasaidii chochote
Kwahiyo yale mashamba yalishindwa kuzalisha sababu ya vikwazo?Utasemaje aliachiwa Kila kitu wakati walimpiga sanctions
Kama urusi na Irani zinahenya Kwa sanctions ndio ije kuwa Zimbabwe
Huawei alipigwa Sanctions unaona kilichowakuta.
Kwa mifumo ya kiuchumi ya kidunia ilivyo hakuna nchi Africa unaweza kupigwa sanctions na isitetereke
Siongei kitu bila kutoa source, karibia kila comment yangu nikiongea naambatanisha na source, wewe je? Nafsi yako inachokutuma unaongea with "trust me bro za kutosha"Tatizo unaongea uongo mwingi sana na kwa umahiri mkubwa sana kiasi kwamba inaonekana sio tu kama unapotosha makusudi bali unauamini kabisa uongo huo kama ukweli au facts.
Hayo mashamba soko la hayo mazao ilikuwa wapi ?Kwahiyo yale mashamba yalishindwa kuzalisha sababu ya vikwazo?
Huwezi kuiweka sababu ya ndani kama factor namba 1 ya mgogoro huu huku ukiiignore sababu za mabeberu kuhakikisha vita hii inaendelea Kwa dahari na dahariJibu nzuri kabisa hili mkuu,wengi wetu ni watu wa kutoa lawama kwa wazungu kuhusu mgogoro wa DRC na kuzipa kisongo sababu za ndani ambazo ni chanzo Cha matatizo ya Congo.
Hujui hata kwa nini ni rare earth hii ya uchache ni tafsiri yako.Tesla ananunua BYD fanya homework yako vizuri.
Kitu kinaitwa rare sababu kipo kichache lugha inakusumbua? Kitu kuwa uchache hakimaanishi ni muhimu. Udongo wa kiko sisi Tanzania si tupo juu? Ni rare huo Udongo ila unatusaidia nini?
Kitu kinaweza kisiwe rare na Kikawa na Umuhimu mfano mzuri unao mafuta, mafuta ni mengi mno dunia nzima hata sio rare ila thamani yake na mziki wake unaujua wala sina haja ya kuelezea.