JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Naona maduka TZ yamevamiwa na dawa fake za meno aina ya Colgate. Kulikoni?
kwel ndg na nyingi zimetoka uarabuni sijui tatzo nnNaona maduka TZ yamevamiwa na dawa fake za meno aina ya Colgate. Kulikoni?
Kama hizo dawa ni fake basi hata hayo maandishi yanayoonyesha kua zimetoka "uarabuni" nayo ni fake,pengine wala hazitoki huko.kwel ndg na nyingi zimetoka uarabuni sijui tatzo nn
Bila kusahau KIWIKuna vitu vimekuwa maarufu bongo hadi majina Yao yanatumika Kwa jumla mfano kolget imesimaia dawa zote za meno, mfuko wa rambo umesimamia plastic begs zote, sheli imesimamia vituo vyote vya mafuta. NA SASA HIVI BASHITE AMESIMAMIA....
[HASHTAG]#darbilavyetifekiinawezekana[/HASHTAG]
Mkuu kinachomaanishwa hapa ni dawa ta meno iliyoandikwa Colgate. Sio kila dawa ya meno. Colgate ndio zimekuwa na matoleo mengi feki. Nyingine unaigundua wakati wa matumizi unakuta ladha yake sio ile uliyoizoea. Kwa kiasi fulani bei inaweza kuwa "alarm" ya kukutaadharisha . Mfano unakuta gram 100 ya toleo moja inauzwa sh.1200 lakini hiyo hiyo colgate toleo lingine gram 100 inauzwa sh. 1600 utajua kuwa hapa kuna walakini. Lakini bei tu haitoshi kutambua feki na original.Kuna vitu vimekuwa maarufu bongo hadi majina Yao yanatumika Kwa jumla mfano kolget imesimaia dawa zote za meno, mfuko wa rambo umesimamia plastic begs zote, sheli imesimamia vituo vyote vya mafuta. NA SASA HIVI BASHITE AMESIMAMIA....
[HASHTAG]#darbilavyetifekiinawezekana[/HASHTAG]
Umejuaje ni fake? Tusaidie wengine.Naona maduka TZ yamevamiwa na dawa fake za meno aina ya Colgate. Kulikoni?
Sijui kama kuna external features za kuweza kugundua kama ni fake. Mimi binafsi nimewahi kununua hizo fake mara kadhaa na niliweza kugundua baada ya kuiweka mdomoni. Yaani taste yake tu utajua ni kimeoTutazitambuaje fake na original mm ni mtumiaji mkubwa wa colgate na huwa sichunguzi ipi fake na ipi yenyewe.
Sidhani kama unaweza kujua ni fake kwa kuonja(mazoea) bila kudhibitishwa kitaalam. Inawezekana ulizoea kutumia fake, hiyo uliyoipata ndio Og.Sijui kama kuna external features za kuweza kugundua kama ni fake. Mimi binafsi nimewahi kununua hizo fake mara kadhaa na niliweza kugundua baada ya kuiweka mdomoni. Yaani taste yake tu utajua ni kimeo