kwanini hawa mabingwa wa burudani hawana kipindi cha rock? ukizingatia rock unaweza kuwa mziki unaoongoza kwa kupendwa duniani. ukiangalia mauzo na grammy awards huu mziki unaongoza. najua watanzania wengi hawapendi basi wawe hata na saa moja kwwa wiki.
tunategemea nyie kama waandishi wa habari mtujuze na yanayoendelea na nje ya nchi sio kila siku wakina mavoko. mbona sport extra hutangaza habari NBA japo ni watanzania wachache wanapenda kikapu. kuweni internationa walau kidogo.
inamaana wanaowalalamikia na kuwashauri mods humu nao waanzishe forums zao!?. acha ungese.
at least there is someone who got sense. zamani east africa radio walikuwa na kipindi jumapili na channel five walikuwa wanaonyeesha videos jumamosi lakini vimekufa. huwa nadownload na nina album nyingi sana ila wakipiga rediioni tutakuwa tunapata update na kubadilishana ladha tofauti.Its a good suggestion ndugu yangu na pole sana kwa baadhi ya majibu uliyopewa, but nadhani kama mmoja alivojibu kuwa, muziki huunsi popular sana kwetu ndio sababu hawana interest nao sana, ila basi haina maana kwa wapenzi waliobaki wasiweze kuufatilia kama wanapenda, nadhani best option yako itakuwa kusikiliza online radios, na moja ya best app kwenye mambo ya radio za online ni Tune in radio, jaribu kuidownload , kama una access ya internet na utapata radio zote uzitakazo plus rock za aina nyingi from punk, daft, alternative to hevy metals, ukishindwa, sikiliza kiss fm i think wkend wanapiga top 40 za US, kuna lots of rock songs zinapigwa 🙂