Kwanini China haipo kwenye G7 countries (Industrialized countries)?

hiden

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
376
691
Wakuu kama tunavoona China inazalisha bidhaa nyingi ambazo huuzwa mpaka Ulaya na marekani.

Lakini mpaka sasa China sio mjumbe wa G7 (Most industrialized countries) yaani Nchi zilizoendelea kiviwanda. Nchi zilizo kwenye G7 ni Marekani, Uingereza, Japan, Italy, German, Canada na Ufaransa

Ni sababu ipi inaifanya China isiwe na sifa kuingia G7?
 
Hiyo Ilikuwa 1971 iliundwa kwA ajiri ya kuendesha uchumi wa dunia. As US owned 1/2 of world gold then wafanyabiashara wake France, German, UK, Japan wakasema kwakua una own 1/2 ya gold in the world basi Currency yako(USD) itumike Katika exchange na hela zetu kwA thaman na utajiri. US akapendekeza kumuongeza Canada na EU wao wakamuweka Italy then wakawa US, UK, France, German, Italy, Canada na Japan as G7. At that time baadae Russia akajiunga ikawa G8 figisufigisu Russia akatoka sasa malengo ya G7 as economic group likawa advantage ya kisiasa kwA G7 members kwamba tunakopeshana hela kuendeleza Nchi zetu tutalipana baadae thus why US ana madeni. Yakapatikana maslahi Middle East hizi crisis na ugaidi kwA Nchi za kiarabu basi G7 Kutoka kuwa economic ikawa political kushughulikia masuala ya ugaidi wa Middle East... EU ikasema Middle East crisis haiwezi kuisha bila Russia kuwepo G7 inabidi 2017 tumushawish awepo sababu nae anabomb Middle East...China habomb Middle East Wala hana maslahi Wala biashara pale Kwahiyo China hahusiki labda akaribishwe kwa kuwapa Ushauri. Again ni hivi mwenye strong democracy ndo anaingia G7 sasa china hana strong democracy hence hawezi kuona kibanzi kwa ndugu yake wakati haliangalii boriti jichoni mwake.
 
Viwanda vingi vikubwa vya China ni FDI za kutoka developed countries sababu za biggest internal market na skilled and cheap manpower
Mkuu usipupambazwe na vitecno tunavyoletewa Africa, Mchina ni zaidi ya tumjuavyo.
 
Hiyo Ilikuwa 1971 iliundwa kwA ajiri ya kuendesha uchumi wa dunia. As US owned 1/2 of world gold then wafanyabiashara wake France, German, UK, Japan wakasema kwakua una own 1/2 ya gold in the world basi Currency yako(USD) itumike Katika exchange na hela zetu kwA thaman na utajiri. US akapendekeza kumuongeza Canada na EU wao wakamuweka Italy then wakawa US, UK, France, German, Italy, Canada na Japan as G7. At that time baadae Russia akajiunga ikawa G8 figisufigisu Russia akatoka sasa malengo ya G7 as economic group likawa advantage ya kisiasa kwA G7 members kwamba tunakopeshana hela kuendeleza Nchi zetu tutalipana baadae thus why US ana madeni. Yakapatikana maslahi Middle East hizi crisis na ugaidi kwA Nchi za kiarabu basi G7 Kutoka kuwa economic ikawa political kushughulikia masuala ya ugaidi wa Middle East... EU ikasema Middle East crisis haiwezi kuisha bila Russia kuwepo G7 inabidi 2017 tumushawish awepo sababu nae anabomb Middle East...China habomb Middle East Wala hana maslahi Wala biashara pale Kwahiyo China hahusiki labda akaribishwe kwa kuwapa Ushauri. Again ni hivi mwenye strong democracy ndo anaingia G7 sasa china hana strong democracy hence hawezi kuona kibanzi kwa ndugu yake wakati haliangalii boriti jichoni mwake.
Kama ni kukopa na madeni, US Ana madeni kutokana na kukopa China, kwa nini China haimo?
 
Okay nikajua ndio waliojuu kiviwanda kumbe walichaguana wenyewe?
 
Weee jamaa, US dollar kuwa kama exchange currency world wide soma hii kitu..PETROL-DOLLAR since 1972 s
 
Msisahau kuna:
Big three/EU trio-EU3
Ina Germany ,France na Italy.
Free Trade Agreement-G3
Ina Colombia , Mexico na Venezuela.
The Group of Five-G5
Ina Brazil, China, India, Mexico na South Africa
The Group of Six-G6
Ina Germany , France , United Kingdom , Italy , Spain, na Poland
The Group of Seven-G7
Ina Canada, France, Germany, Italy, Japan, UK na USA
The Group of Nine-G9
Ina Austria, Belgium, Bulgaria, Denmark, Finland, Hungary, Romania, Sweden na Yugoslavia
General Arrangements to Borrow (GAB-G10)
Ina Belgium, Canada, France, Germany, Italy, Japan, Netherlands, Sweden, Switzerland, UK na USA
The Group of Twelve-G12
Ina Australia, Belgium, Canada, France, Germany, Italy, Japan, Netherlands, Spain, Sweden, Switzerland, United Kingdom na United States.
The Group of Twenty-G20
Ina Argentina, Australia, Brazil, Canada, China, France, Germany, India, Indonesia, Italy, Japan, South Korea, Mexico, Russia, Saudi Arabia, South Africa, Turkey, United Kingdom, United States na EUs.
 
Back
Top Bottom