kwa taarifa yako hata regime ikibadilika kesho hakuna Reformation itakayotokea na kunigusa mm,sina cha kupoteza wala kuongeza,halaf kabuda ni waziri wa wizara gani,jina geni hili kwangu,anapatikana nchi gani???Umepaniki mkuu, naona jamaa anatingisha unapopata mkate wako, nakufananisha na wazari kibuda
Mwenzio kaandika Kibuda wewe unaulizia Kabuda.... sioni tofauti yenu kabisa.kwa taarifa yako hata regime ikibadilika kesho hakuna Reformation itakayotokea na kunigusa mm,sina cha kupoteza wala kuongeza,halaf kabuda ni waziri wa wizara gani,jina geni hili kwangu,anapatikana nchi gani???
Sina chuki na sehemu au mkoa wowote wa nchi yangu sababu naweza kuishi na kusafiri bila viza. Nilichomaanisha hapo hapi ni ofisi au lango la kuingilia na ofisi almost zote za kitalii zipo Arusha lakini kwa kuwa sisi ni nchi moja wala hiyo siyo tatizo, hivyo hata Chato ni ardhi ya watanzania wote.Chuki itakukula hadi ikumalize. Ngorongoro 100% ipo Arusha, Manyara 45% ipo Arusha na Serengeti almost 40% ipo Arusha. Hakuna namna utabadilisha hilo.
Kama siyo chuki imekujaa. Nielekeze ni sehemu gani Arusha zilipo ofisi za Hifadhi ya Manyara au Tarangire. Arusha hakuna ofisi za hizo mbuga ulizotaja. Kama unajua zilipo tuambie ni sehemu gani Arusha zilipo
Mkuu umemaliza.Chukii zitakupa vidonda vya tumbo..
Ataukivua nguo na kupiga yowe huwezi na utokaa ubadili hili jambo..
Wewe potezea yote yaliyoko nje ya uwezo wako
Maoni yangu ni kuwa waliotunga jina hilo walilenga kujipendekeza kumfurajisha mkubwa fulani.Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani Chato
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya mwaka 2013, lakin baada ya kutengwa ikawa miongoni mwa eneno ya Geita tulidhani sarakasi zitaishia hapo,
Eneo kubwa linalo cover hiyo hifadhi liko Kagera , yaan Biharamulo, Pori sehemu kubwa ya kimisi yaan Ngara, Imeextend mpaka Muleba sehemu fulani, hadi Runzewe , na Chato imegusa kidogo sana lakin wanalazimisha iitwe Chato ikimaanisha kwamba hata mapato yote na unufaishaji wote wa mapato asilimia kadhaa zitokanazo na utalii wa eneo hilo unaelekea Chato
Kwa sasa kwakuwa hatujawa na majimbo au kamandi zinazojitegemea kimapato aua zinazopewa kipaumbele kulingana na mapato husika lakin huko mbeleni ipango inaweza kuja ukakuta kuna maeneo yananufaika kutokana na maamuzi yasiyo sahihi ya awali,
KILA JAMBO CHATO CHATO CHATO CHATO, maana hata Geita Haitakwi tena ni Chato tu
View attachment 1127634
kwa taarifa yako hata regime ikibadilika kesho hakuna Reformation itakayotokea na kunigusa mm,sina cha kupoteza wala kuongeza,halaf kabuda ni waziri wa wizara gani,jina geni hili kwangu,anapatikana nchi gani???
Mshuti ana gubu, wakati ule chato ikiwa kagera nayeye akiwa mbunge wa kagera hakuwahi kushiriki vikao vya wabunge wa kagera hata vikao vya kichama ushiriki wake uilikuwa wa mashaka.Mshuti atatuua
This man is shit!!Mshuti ana gubu, wakati ule chato ikiwa kagera nayeye akiwa mbunge wa kagera hakuwahi kushiriki vikao vya wabunge wa kagera hata vikao vya kichama ushiriki wake uilikuwa wa mashaka.
Alidivert brbr ya biharamulo ipite chato ili kuwakomoa watu biharamulo kwa kumkakataa 1985/1990.
Ametengeneza mkoa wake wa geita, lakini inaone kama geita yenyewe imeegrshwa tu.
Mkakati uliopo ni kumega wilaya za mkoa wa mwanza kagera na kigoma ili kuunda mkoa wa chato. Si kwa sababu za kijiografia, kiuchumi au huduma za jamii Bali ubinafsi na chuki na visasi tu.
Then a shit holeMshuti ana gubu, wakati ule chato ikiwa kagera nayeye akiwa mbunge wa kagera hakuwahi kushiriki vikao vya wabunge wa kagera hata vikao vya kichama ushiriki wake uilikuwa wa mashaka.
Alidivert brbr ya biharamulo ipite chato ili kuwakomoa watu biharamulo kwa kumkakataa 1985/1990.
Ametengeneza mkoa wake wa geita, lakini inaone kama geita yenyewe imeegrshwa tu.
Mkakati uliopo ni kumega wilaya za mkoa wa mwanza kagera na kigoma ili kuunda mkoa wa chato. Si kwa sababu za kijiografia, kiuchumi au huduma za jamii Bali ubinafsi na chuki na visasi tu.
YesNi hali ya hewa tu
Mshuti hana shida nilimuona juzi kweny kigorofs chake pale nshambaMshuti atatuua
Duh
Kabisampaka 2025 chato litakua jiji, mzalendo nchi hii alikua Nyerere tu, kwake Tanzania ilikua kama mtoto wake wa kwanza.
HahaMbaya zaidi hyo CHATO ni kama tv tu na remote ipo magogoni..
Wenye akili wakisema "nchi tumempa mshamba atuongoze"
Sawa mkuu sijui hali ikojeBritanicca, Ni Chato ndiyo kila kitu ni Chato. Tuzoee na tukubali matokeo otherwise tubomoe uwanja wa ndege na bandari. Kwa sasa niishie hapo
Now kizimkaziBritanicca, Ni Chato ndiyo kila kitu ni Chato. Tuzoee na tukubali matokeo otherwise tubomoe uwanja wa ndege na bandari. Kwa sasa niishie hapo