Kwanini Chato?

Sasa unaambiwa Hifadhi itaiwa Burigi/Chato. Lengo iitwe Chato, labda kaoa aibu kidogo.
Inatumika kuhalalisha ujenzi wa Chato International Airport.
😳 😳 😳 😳?????!!!
 
comrade, mbona unamnanga kiaina mwenyekiti wa chama chetu mapema hivyo?

but msitie khofu.... 2020 watu wake wa CC hata wafanyeje sisi wa NEC tumejipanga hatutamrudisha!
 
Kuna wahaya huko Bukoba wanasema Bora wangemuacha Idd amini akaipeleka bukoba Tu
 

Umepaniki mkuu, naona jamaa anatingisha unapopata mkate wako, nakufananisha na wazari kibuda
 
umepiga mule mule.
hii ni sawa na Hifadhi ya ziwa manyara kuwa mkoa wa Manyara alafu mamlaka ya uhidadhi Ngorongoro kuwa mkoani Arusha.

So unahalalisha ujinga kwa kufanya ujinga? Hata ya kuvukia barabara wanawanyanganya?
 
umepiga mule mule.
hii ni sawa na Hifadhi ya ziwa manyara kuwa mkoa wa Manyara alafu mamlaka ya uhidadhi Ngorongoro kuwa mkoani Arusha.
Chuki itakukula hadi ikumalize. Ngorongoro 100% ipo Arusha, Manyara 45% ipo Arusha na Serengeti almost 40% ipo Arusha. Hakuna namna utabadilisha hilo.
Kama siyo chuki imekujaa. Nielekeze ni sehemu gani Arusha zilipo ofisi za Hifadhi ya Manyara au Tarangire. Arusha hakuna ofisi za hizo mbuga ulizotaja. Kama unajua zilipo tuambie ni sehemu gani Arusha zilipo
 
Miaka ya 2005/2015 ilikuwaga msoga. Msoga. Sasa ni chato, chato, 1995 Masasi Masasi. Ikahamia lushotooo lushotoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…