Ni kuongeza gharama nyingine za uendeshaji Mkuu katika haya mazingaombwe ya "kubana matumizi" Mkuu wa mkoa mpya na watendaji wake chungu nzima.
Ingekuwa amri yangu baadhi ya mikoa ingeunganishwa hivyo kupunguza watendaji au kuwa na majimbo matano au sita nchi nzima na hivyo kuondokana na Wakuu wa mikoa chungu nzima ambao wanaongeza tu gharama za uendeshaji Serikalini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.