Kwanini Chato na Bukoba isiwe mikoa miwili tofauti?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Ukiangalia mkoa wa Kagera utagundua ramani yake haijakaa vizuri. Kuna umuhimu wa kugawa kuwe na mikoa miwili. Mkoa wa Chato na mkoa wa Bukoba.

Naleta pendekezo mezani.
 
Ni kuongeza gharama nyingine za uendeshaji Mkuu katika haya mazingaombwe ya "kubana matumizi" Mkuu wa mkoa mpya na watendaji wake chungu nzima.

Ingekuwa amri yangu baadhi ya mikoa ingeunganishwa hivyo kupunguza watendaji au kuwa na majimbo matano au sita nchi nzima na hivyo kuondokana na Wakuu wa mikoa chungu nzima ambao wanaongeza tu gharama za uendeshaji Serikalini.

ukiangalia mkoa wa kagera utagundua ramani yake haija kaa vizuri.

Kuna umuhimu wa kugawa kuwe na mikoa miwili. mkoa wa chato na mkoa wa Bukoba.

Naleta pendekezo mezani.
 
Mpango ni kupunguza gharama wewe unataka gharama ziongezeke inakuwaje hapo
 
Tanzania mikoa ipunguzwe iwe 14 tu ni akili sahihi ya maendeleo siyo kuiongeza hiyo Akili ya kipumbavu ya kuongeza mikoa sijui tumeipata wapi
 
watu wanajibu swali sivyo.. haaaa. eti Nairobi na Dodoma zigawanywe I we mikoa miwili wakati Dodoma na Nairobi zipo nchi tofauti.. haaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom