Kwanini CHADEMA wanashikwa na Askari, wanamlaumu Rais?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Wafanyakazi wake akinaTundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
 
"Mimi ndie raisi sipangiwi napanga nani awe wapi nani afanye nini najiamini huu utawala wangu sio wakujaribiwi ukinijaribu oohh wai utapoteza kabisa, kamata mpk na gari lake likake lock up" baadhi ya nukuu za anaelaumiwa au huelewi bado
 
😎😎😎😎
 
Maagizo toka juu.huko juu ni wapi mbinguni?
DPP alijiamulia mwenyewe kumuita lowasa kumuhoji?
Hata hao wanaotumwa kuna wakati wanachukia.ila kusema wanaogopa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu hao askari wanafanya kazi zao ili mradi tu wamridhishe rais, yaani atakayepishana na mawazo ya rais anachukuliwa kama adui wa serikali nzima.
 
Kichwa cha serikali ni huyo unayempenda sana. Maelekezo yote ya nchi iendeje hutegemea na yeye.

Akina Bokassa, Mobutu, Dada Amin, Smith, Hitler etc waliwahi kuishi na wakafikiri wao ndiyo mwisho wa kila kitu. Lakini leo hawapo na history inawahukumu. Kadhalika na huyu mtesi wa Chadema hatasalimika kwa njia anayoipita. Safari moja huanzisha nyingine

Cairo's
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Wakisema hivyo huwa wanajisikia wamesteam out their accumulated frustrations.
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
Achana nao hao wamechanganyikiwa
 
Inakuwaje wanawavuka woote kuanzia Mkuu wa Polisi (Wilaya, Mkoa, Taifa) , Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, Waziri na kumlaumu Raisi wa nchi?

Chadema hata akishikwa na Trafiki na kupigwa faini, anamlaumu Raisi wa nchi!

Mbona Mbowe halaumiwi kwa matendo ya Tundu Lisu, Lema, Sugu &Co.? , ...
I wish I could be igp.
 
Back
Top Bottom