Kwanini CHADEMA wanashabikia muungano uvunjike?

Kwanini CHADEMA wanashabikia muungano uvunjike?

Binafsi sina shida na aina yeyote ya muungano itakayoonekana kuwa sawa na pande zote mbili. Iwe serikali moja, mbili hata tatu ni sawa tu. Nina sababu mbili tu za kuupenda na kutojali sana aina ya muungano wetu.

1- Ni muungano pekee ambao bado uu hai hapa Afrika baada ya wengi kushindwa kama wale wa Senegambia.

2- Tupo katika hatua za kuungana (integration) na nchi nyingine za Adrika mashariki kwa hiyo baada ya miaka ishirini toka sasa, muungano wa Tanzania utakua ndani ya muungano mkubwa zaidi wa kifederali Inshallah.
Faida yake nini?
 
Tangia rasimu ya katiba mpya itoke, imeonekana chadema wanashabikia muungano uvunjike na kuwe na serikali tatu.Kwanini chadema wanashabikia jambo hili?
Kwanza Chadema Zanzibar hawana wanachama wengi pili wamegundua Muungano haupo Digtal ni muungano Analogia umejaa mapungufu lukuki nia ya Nyerere ilikuwa kila awamu ikiingia madarakani iuboreshe muungano ili uwe unaenda na wakati (digital ) lakini hadi Leo Hakuna jipya bado muungano una sera zile zile za kalee Ndio Maana kero za muungano zinaongezeka badala ya kupungua .huku Gharama za kuubembeleza muungano Pia zimezidi sana kumbuka Bara inatoa umeme chakula na luzuku kupeleka ZNZ huku Zenji wakinadi sera Yao isemayo Changu ni cha Kwangu na chako ni cha wote yaani Maana yake ni Kuwa cha zenji ni cha zenji na cha Bara ni cha wote .Watu wanataka serikari tatu ili wapata nafasi ya kujitoa kwenye Muungano waludie koloni la waarabu huku Tz Bara ikitajirika kwa kasi sana kwani fungu la zenji litabaki Hazina na kuimarisha uchumi
 
WAZANZIBAR WENGI hawautaki muungano huu ..tushaona TANGANYIKA inaelekea kubaya
aaaaahh zanzibar ikijitenga watauwana wenyewe kwa wenyewe huu wimbo unaibwa tanganyika sanaaa... nashaa muungano upo tanganyika mnapigana mabomu kwa uchaguzi wa diwani tu ukija uwo wa rais 2015 itakuwaje ya rabbi..
muungano unakufaa na nikionacho ni vurugu kubwa bara. kosa ni kupeleka askari kila uchaguzi kuuwa znz na kulazimisha kutawalisha vibara wa mrima kwa wazanzibar. sio wote wenye makosa MUNGU tunaomba usiangamize wote kwa makosa ya wachache inusuru TANGANYIKA na machafuko.
''JAMUHURI YA WATU WAZANZIBAR KWANZA'' Siasa baadaeeeee​
 
Back
Top Bottom