Kwanini CHADEMA wanashabikia muungano uvunjike?

Kwanini CHADEMA wanashabikia muungano uvunjike?

HNi kwa sababu wananchi hawataki Muungano! CHADEMA is just sauti ya Watu.

TUMBIRI (PhD Candidate, MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),

In Journey to Arusha!

hongera,kumbe we ndo ulinifatia!
 
Chadema wanajuwa kwa zanzbr kanisa halina nafasi ndio maana wanataka kuuvunja.
 
Lazima washabikie maana muungano ukivunjika uchaguzi lazima ufanyike tanganyika na hapo ndo mwisho wa Ccm
 
Hivi MUUNGANO HASA NI UPI NA UNA NAMNA NGAPI? Hivi serikali 3 SII MUUNGANO? kama siyo basi hata serikali mbili sii muungano nadhani serikali moja ndio muungano.

Hivi aneyevunja muungano hapa ninani? Je ni yele mwenye mamlaka zaidi ya miaka arobaini ya kuongoza nchi na kuzidharau, kuzikejeli na kushindwa kuzitatua kero za muungano au ni yule mwenye kupendekeza muundo mpya wa muungano utaoleta ufanisi na maridhiano zaidi?????? Watanzania tujiulize na kuhoji kwa undani.......
 
Ole wenu wenye virusi vya udini na mnaosambaza kwa wasio na hatia................madhara yake hayatawaacha salama. Tafakari..acha propaganda za kuliangamiza taifa...CCM ni kongwe haihitaji propaganda za kidini kujiimarisha?? tafakari.......
 
Chadema wanajuwa kwa zanzbr kanisa halina nafasi ndio maana wanataka kuuvunja.

Ole wenu wenye virusi vya udini na mnaosambaza kwa wasio na hatia................madhara yake hayatawaacha salama. Tafakari..acha propaganda za kuliangamiza taifa...CCM ni kongwe haihitaji propaganda za kidini kujiimarisha?? tafakari.......
 
hebu tuwekee wazi mkuu.zanzibar inabwebwa kwa namna gani?ukishindwa hapo usizungumze kitu usichokijua
Ni kweli asichokijua ni kwamba waliopinduliwa 1964 wanaitaka zenj yao. Waliopindua wamebaki maamuma hawajui kinachoendelea.
 
Tangia rasimu ya katiba mpya itoke, imeonekana chadema wanashabikia muungano uvunjike na kuwe na serikali tatu.Kwanini chadema wanashabikia jambo hili?

Kwani huo muungano unafaida gani kwetu sisi WATANGANYIKA? Tumechoka kuzalisha nakwenda kuwahudumia wavivu wasiotaka kufanya kazi.
 
HNi kwa sababu wananchi hawataki Muungano! CHADEMA is just sauti ya Watu.

TUMBIRI (PhD Candidate, MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),

In Journey to Arusha!

Mpaka ujitape kiasi hichoo?
 
Wehu mwingine ni mzigo kwelikweli. Kwahiyo kwako wewe kuwepo serikali tatu ndo muungano umevunjika?
 
HNi kwa sababu wananchi hawataki Muungano! CHADEMA is just sauti ya Watu.

TUMBIRI (PhD Candidate, MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),

In Journey to Arusha!

Yaani TUMBIRI,mi unaniachaga hoi hapo unapotaja elim yako 2!...heshima yako mkuu!! ha haaaaa,nafurahi sana
 
Ni fikra mfu kudhani kuwa na Serikali tatu ni kuua muungano, mbona watu waliposema twende Serikali moja CCM kwa kutaka kupeana vyeo wakasema hapana wakati ndiyo hasa ungekuwa muungano badala ya kiini machi kilichopo. Rais wa Zanzibar anachaguliwa DOdoma kioja cha karne hiki. Tulipigania uhuru ili tuitawale Zanzibar?
Lazima Rais wa Zenji achaguliwe Dodoma Mbona wabunge wa zenji wanamiminika kuja kuchukua posho tena wanakaa bungeni kusikiliza bajeti za wizara ambazo sio za muungano na kuchukua posho !hivi kuna mbunge wa bara anachukua posho kwenye baraza la wakilishi?
 
Si chadema si ccm wala chama chochote cha siasa kitaleta maendeleo kwa hvi karibun tanzania kila mtu wazo lake achote fedha akale na wanae nyumbani ccm walaji wanaeleweka ila chadema bado hawaeleweki na inaonesha wana njaa kweli siasa ya afrika bwana acha tu mara uislamu mara ukristo tunahitj uhuru wa kweli kutoka kwa waafrika wenyewe baada ya uhuru kutoka kwa wazungu hii ndio hoja kubwa ambaya watanzania tunatakiwa kujadili kwa sasa vinginevyo nchi hyooooo kwa wazungu
 
Tangia rasimu ya katiba mpya itoke, imeonekana chadema wanashabikia muungano uvunjike na kuwe na serikali tatu.Kwanini chadema wanashabikia jambo hili?

Kwani kuwepo kwa serikali tatu ni kuvunjika kwa Muungano? au umekusudia utawala wa Tanganyika kule Zanzibar?
Pengine ikiwa ni kuvunjika basi wanataka nafasi watawale kule wanakokubalika. Zenji hawakubaliki kwa sababu nyingi!
 
TOURMALINE

Binafsi sipo katika siasa zenu za vyama hizo lakini huo muungano sikubaliani nao na siku ukivunjika nitaangusha ng'ombe idadi sawa na umri wa huo uitwao muungano nialike kijiji kizima kusherehekea.

Ije kura ya maoni tuamue kama raia.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli asichokijua ni kwamba waliopinduliwa 1964 wanaitaka zenj yao. Waliopindua wamebaki maamuma hawajui kinachoendelea.

Maneno mazito sana, na sijui kama ulitafakari kabla ya kunena?
 
TOURMALINE

Binafsi sipo katika siasa zenu za vyama hizo lakini huo muungano sikubaliani nao na siku ukivunjika nitaangusha ng'ombe idadi sawa na umri wa huo uitwao muungano nialike kijiji kizima kusherehekea.

Ije kura ya maoni tuamue kama raia.

Laiti mgewasaidia Wazenji katika suwala hilo mbona hao ngombe zako wangekwishaliwa zaqmani.
 
Back
Top Bottom