Kwanini CHADEMA inapata nguvu haraka?

cdm wanaongelea mambo yanayowahusu na kuwagusa wananchi wengi wa kitanzania na ni yanayotendeka ktk maisha yao ya kila siku na namna ya kuyatafutia ufumbuzi kama ni matatizo, ndio maana wengi wanaipenda
 
Back
Top Bottom