Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

Ungeongezea na huoni ni jinsi gani CHADEMA wanavyweza kumshinda

Hayo ni yako domokaya.
EL atamwaga pesa lakini watanzania wataamua.
Hebu weka Lowassa vs Dr. Slaa / Zitto 2015...... unapata jibu gani hapo?
 

Hasira yako na maneno yako yanaonesha hofu kubwa uliyonayo juu ya mtu huyu. Sasa jieleze kwa nini unamuogopa hivyo?
 
Hayo ni yako domokaya.
EL atamwaga pesa lakini watanzania wataamua.
Hebu weka Lowassa vs Dr. Slaa / Zitto 2015...... unapata jibu gani hapo?
Angalau tunaweza kujadiliana kidogo, El unayemuona hapo ni yule aliyeanikwa uchafu wake karibu wote lakini bado ana nguvu kiasi hicho, Zito uchafu wake bado kuwekwa hadaharani na Dr Slaa bado ishu ya yule mwanamke na nyingine zitakazokuja hazijamwagwa hadharani. Zikimwagwa hizo na za Mbowe na urafiki wake na familia yake na CCM kazi kwelikweli
 
NIMETAFAKARI SANA AKILI ZA WANACCM WENGI HUMU NIMEGUNDUA WENGI NI WAGONJWA WA AFYA YA AKILI............

Ndugu yangu kama hilo umelijua leo basi wewe umeugua huo ugonjwa siku nyingi. Miaka yote hii ya kutawala nchi tajiri kama hii lakini inazidi kuwa masikini halafu kumbe wewe ulikuwa unatafakari siku zote? Wakuongezee dozi wewe si ajabu ugonjwa ukakurudia
 
Huo utafiti umefanya wapi na lini? Au unaleta umbea hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…