Ili kuthibisha kuwa wewe sio mdaku, mwana mipasho, na duni wa kufikiri hebu tuwekee hapa list ya mapandikizi wa lowasa ndani ya CDM ili tuweze kuchambua profile zao na utuonyeshe matendo yao yanayowafunganisha na lowassa,otherwise as normal you remain a tabula rasa
Kwani wewe ni nani unataka nilete uthibitisho? Ulikuwa wapi kumwambia Slaa alete uthibitisho wa kontena la kura aliosema limekamatwa Tunduma.
Pro-Chadema JF 90% ni vijana wa Lowassa, pamoja na wewe ili lipo wazi wala haliitaji PhD kujua.
Nyani haoni kundule. Ndani ya CCM je? Mbona mmeshindwa kumvua gamba?
Kati ya watu wanaomkubali sana Lowassa ni Dr Slaa na F.Mbowe.
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
kumbe ndio mana watu wanasema chadema ni chama cha watu wa kaskazini,kumbe hata lowassa na yumo asante sana kwa taarifa kijana,leo umefanya kazi nzuri sana ya kuturahisishia hata sisi wachache tuliokuwa tunabisha kwamba chadema ni chama cha watu wa kaskazini tu.
Kati ya watu wanaomkubali sana Lowassa ni Dr Slaa na F.Mbowe.
teh teh kamanda subiri BanPRISHAZ, ulitake niache kumkubali EL kisa maneno ya Nepi? Au ...
Dogo unatapatapa sana. ila huoni aibu kutumia jina la kike?
bahati mbaya huna effects ila ningekuvua nguo humu jukwaani
teh teh teh Huu utapia mlo umeuleta hapa sababu ya kukosa uongozi BAVICHA?Mnataka tumvue gamba kama nyie vinega mlivyomvua gamba CHACHA WANGWE au?sisi tuna njia zetsi lazima sana tuitumie njia yenu mliyoitumia kumvua gamba mpiganaji chacha..!
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
ccm cdm wote wanamwogopa lowassaSio kama wanamuopa Lowassa, ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
kwa hiyo kule rombo fisadi mramba sio mkristo wala mkaskazini????????Toka lini wakristo, wakaskazini, wakapingana? Hebu acheni kutugomanisha!!!!
Mnyisansu una bidii la Lowassa duh!
EL anaweza kuwa mgombea urais kupitia chadema 2015,subiri wazee waseme
namwonea huruma JK na mafisadi wenzake