Wapi Lowassa aliposhiriki kikamilifu akiisimamia ccm dhidi ya cdm na cdm wakamuogopa Lowassa?me najua mfano mmoja tu Lowassa aliisimamia c.c.m dhidi ya cdm,napo ni Arusha mjini,aibu aliyoipata yeye na chama chake na mtu wake wanaijua wenyewe!toa mifano hai minne tu kusupport kauli yako,otherwise utakua empty brain,domokaya mropokaji bila kufikiri![/QUOTE
mbona pale arusha mjini alimpachika mbina dk na balozi b ****ni lakini hawakufua dafu,sasa unafikiri arumeru atafua dafu? ata kama SIOI anam***a bintie,
washabiki na wanachama wengi wa chadema hupata homa endapo watasikia lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia ccm. Hofu na homa hii ya chadema dhidi ya lowasa ya nini na inatoka wapi?
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
ccm ndio wanahangaika naye. Hadi kumkalia kikao ikulu lakini wanachemsha.!
Sio kama wanamuopa Lowassa, ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
CDM haiogopi m2, sema watu mnakuja humu na mawazo ya kichumba ambayo mmeyazoea fcbk.
CDM haiogopi m2, sema watu mnakuja humu na mawazo ya kichumba ambayo mmeyazoea fcbk.
Idd Amin alishawahi kusema "watu wangu wananiheshimu sana kwa sababu nikiwa na jambo la kuongea naongea nikiwa sina nakaa kimya".JARIBU KUMUIGA.Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?