gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,277
- 17,749
Hakuna watanzania wengi mtandaoniKwanini vyama vingine tena vyenye ukwasi zaidi ya Chadema wanakubali kubagazwa mitandaoni bila kuiga hii njia?
Hakuna watanzania wengi mtandaoniKwanini vyama vingine tena vyenye ukwasi zaidi ya Chadema wanakubali kubagazwa mitandaoni bila kuiga hii njia?
We unaliwaBora tweeter hii jf siku hizi imejaa VIKARAGOSI VYA CCM. wanatumwa kufanya spinning hapa
Mkuu huogopi kutukanwa?!!!Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Unaogopaje maoni ya mtu mwingine kwenye jukwaa huru kama JF! Niko hapa toka 2008 sijwahi umizwa wala kukasirishwa na maoni tofauti na yangu.Mkuu huogopi kutukanwa?!!!
Ukiwa jf, unaweza kutoka mbio na kwenda kujificha vunguni mwa kitanda kama ni mwanachama wa Chama kingine
😆😆😆👍Unaogopaje maoni ya mtu mwingine kwenye jukwaa huru kama JF! Niko hapa toka 2008 sijwahi umizwa wala kukasirishwa na maoni tofauti na yangu.
CCM inalo kundi la kutosha kuhalalisha uchaguzi wao.Nyomi nimeziona, na ushauri kuhusu hizi nyomi nimetoa Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
P
Watanzania walioko mitandaoni wako huru zaidi kutoa ukweli wa moyoni.Hakuna watanzania wengi mtandaoni
Hoja zako ni kweli tupuKila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
upakuwaji wa ccm nikwamba watu wapo kivuli ili kujilinda tu sio kupenda CCM