Kwanini CHADEMA ina ushawishi zaidi mitandaoni

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,829
Reaction score
5,269
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.

Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:

1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.

2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.

3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
 
Bila kusahau sababu nyingine kubwa ni ubanwaji wa demokrasia swala linalopelekea vijana na wadau wengine hususan watumishi wa umma kuogopa kuonekana hadharani kuhofia usalama wao maana yanayoendelea kila mtu anatambua raia hatupo huru
 
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.

Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:

1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.

2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.

3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Wana vibaka toka nchi jirani wanawawekea bando kujaza sever tu humu
 
Tatizo ni kwamba wengi walioko uko mitandaoni hawajengi hoja zaidi ya kutukana wale ambao wanatofautiana nao mitazamo.Mwisho unakuta haisaidii chama kujengeka zaidi ya kuongelewa tu.
 
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.

Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:

1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.

2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.

3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Naunga mkono hoja
P
 
Ukitaka kujua si mitandaoni tu, maza na akubali uchaguzi, huru na wa haki uone kama atatoboa.

Pascal Mayalla na huo ndiyo ulio ukweli mchungu!
 
Sio this time, no bness as usual
Majira haya Mungu atawashangaza sn , lisu ni sauti ya mtu alisema nyikani itengenezeni njia ya Bwana....
Ila Rais ajae ndo hapo mtajua Yuko Mungu 😂😂

View: https://youtu.be/ZI-wLZGmSGY?si=-SkVaaW5RHLWm1Gw

Na km ni mitandaoni tu,fujo zote hizi za nn?
 
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.

Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:

1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.

2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.

3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Becquse watanzania ni wanafiq na waoga
 
Wana kitengo cha mitandao,unakuta erythrocytes ana ID 20 JF,15 x,30 insta,sasa fanya wawe 100,si umesikia wanapokea bando toka kenya
 
Kwanini wasanii/influencers ambao ni wanachama/wafuasi wa CCM wenye namba kubwa za followers mtandaoni wako kimya kwenye mijadala ya kitaifa hata kama wana maoni tofauti, kwanini wanasubiri wakati wa kampeni tu au hafla za wazi pekee.

Kwanini hawatumii ushawishi wao na followers wao wengi kujibu hoja au kutetea chama chao mitandaoni?!
 
Wana kitengo cha mitandao,unakuta erythrocytes ana ID 20 JF,15 x,30 insta,sasa fanya wawe 100,si umesikia wanapokea bando toka kenya
Kwanini vyama vingine tena vyenye ukwasi zaidi ya Chadema wanakubali kubagazwa mitandaoni bila kuiga hii njia?
 
Back
Top Bottom