MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?
moshi hawataki vurugu za maandamano! wanajua fika kabisa vurugu za maandamano zitaharibu biashara ya utalii ambayo vijana wengi ndo wanakoptata riziki zao, pia wao bize sana na biashara zao mbalimbali!
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema Moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema Moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?
Nadhani ungerekebisha swali lako. Kwa vile Moshi iko mikononi mwa CHADEMA ungeuliza hivi; kwa nini CCM hawaandamani Moshi?
Mosh wajanja wewe, waumizwe?
Mchaga mjanja sana, anawaandamishaje waarusha huko kwao?, wafe hana la kupoteza
Mnama,
Kule Kibosho na Mwanga, nani anaongoza?
Ha ha ha!kumbe na wewe ni anti-chagga huh?
Why? Did I sound anti-chagga?
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema Moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema Moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?
Hawawezi kuandamana manake lengo lao ni kuharibu kwa wenzao ila kwao hawawezi fanya hivyo.