Kwanini CHADEMA haihamishii makao yake makuu Dodoma?

Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
KWANI MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI WALIOPEWA VIWANJA WAMEJENGA NA KUHAMIA?
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Tumalize kwanza siasa za chuki Political repression
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Mwenyekiti na mtunza fedha ni 'zile zile za kule kule' unategemea kutajengwa ofisi ya makao makuu kweli?
 
Punguza porojo, Dodoma ni makao makuu ya ccm na serikali.

Hakuna ofisi ya ubalozi wa mabeberu utahamia pale kwenye jangwa la Dodoma.

Nb: jamaa yenu kashanyolewa. View attachment 1978639
Matendo aliyokuwa anayafanya huyu Mbwiga, pamoja na yule aliyekuwa anamtuma nilikuwa nahisi kabisa kuwa Nchi yetu inaweza kuingia kwenye Civil War

Mungu mkubwa.
 
Civil war kwa sababu ya DC Ole sabaya?
 
CCM ilishawahi kujenga ofisi yake hata moja? Maana zote hizo ni mali ya umma.

CDM hongera kwa ujenzi wa ofisi zenu zinazoendelea kwa kila kanda kwa nguvu zenu wenyewe.
 
Kwanini mnakuwa wagumu kuelewa kama makao makuu ya CDM yako Ubeligiji na makao makuu madogo yako Canada? Mawasiliano kwa spaces
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Katika mada yako kuna maneno wako mbioni, tuambie kama chadema wako mbioni au hawako mbioni.
 
Kwani katiba inasemaje?tuanzie hapo kwanza kiongozi
 
Back
Top Bottom