Kwanini CHADEMA haihamishii makao yake makuu Dodoma?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma!

Mungu ni mwema wakati wote.
🤣🤣
10356420_625148927592000_128052858441513029_n.jpg
 
Mimi nakuhaidia kiwanja hapa California kwa Biden, hamia huku ewe kada wa Lumumba.
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma!

Mungu ni mwema wakati wote.
Punguza porojo, Dodoma ni makao makuu ya ccm na serikali.

Hakuna ofisi ya ubalozi wa mabeberu utahamia pale kwenye jangwa la Dodoma.

Nb: jamaa yenu kashanyolewa.
FB_IMG_1634560234673.jpg
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Kuna ubaya wakibaki Dsm..
 
Wewe ni mpumbavu.
 
Back
Top Bottom