Sijakuelewa unapo sema hakuna sim card. Ila kwa ufaham wangu cdma ni teknolojia kama ilivyo GSM. Ili simu iweze kufanya kazi na cdma ni lazima iwe imetengenezwa kuendana na hiyo teknolojia. Simu nyingi zina tumia teknolojia ya GSM. Na simu inakuwa haina tofauti kimuonekano. Sijui kama nimekujibu kama ulivyo hitaj ila natumaini pa kuanzia unaweza pata.