Mtu mjinga tu ndio anaweza kuwaza hivi uwazavyo. Chama kufa ni kupoteza ushawishi kwa umma, na sio kuzuiwa kufanya siasa ili ccm ipate ahueni. Iko hivi, cdm kwa sasa ndio chama chenye ushawishi wa kweli wa kisiasa. Jambo hili linawauma ccm na wanaccm wote kwani ni ukweli wasioupenda, wanaamini wakiiua cdn automatically ushawishi utahamia kwao, na wanajua wakiendeleo kukubali cdm iwepo ni lazima wataitoa ccm madarakani, jambo ambalo hakuna mwanaccm maslahi, ama ccm bendera fuata upepo atakubali.Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Kwani hao walioenda chaumma wametoka CCM? Chadema nyie wenyewe ndo mnatamani ife.Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Makosa yetu yanakuhusu nini wewe? hii huruma unaitoa wapi kama sio UNAFIKI? Tundu will be free na hamtaamini, Nyie ni mashetaniMlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.
Lissu anaropoka kuanzisha uasi mwezi April 2025 na baada ya mwezi 1 anakamatwa na kuwekwa ndani.
Mwezi mmoja baadaye Msajili wa vyama anaitisha kikao cha kusaini kanuni za maadili, naye Heche anagoma KUSAINI. Tundu kachonga jeneza la CHADEMA na Heche kapigilia misumari.
Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Allen Kilewella mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.
Hii ndiyo inayoitwa propaganda nyepesi. Si umemsikia Yericko Msambika anavyosema kuwa Lissu akitoka wao watarudi CHADEMA?Kwani hao walioenda chaumma wametoka CCM? Chadema nyie wenyewe ndo mnatamani ife.
Na Sasa Yono kapewa haki ya kuuza jengo lao ili zipatikane milioni 165 mambo ya urithi wagawane.Yono alimzidi spidi akamnyang’anya kazi zote za Serikali
Kuna mahali kwenye hili bandiko nimemtaja Mbowe? Au una ugiligili unatokana na kuishi kwenye propaganda mfu?Mbowe si mlisema ni Gaidi ujinga kama huu ulioandika hapa tumeuzoea
Hayo ni maneno tu ya kusiasa. Hata chadema wanaombea ccm ife.Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
CHADEMA inachotaka ni usawa kwenye kushiriki siasa. Chama kipi kinabaki ama kutoka iwe ni kwa ridhaa ya wananchi na si kwa mabavu ya dola!Hayo ni maneno tu ya kusiasa. Hata chadema wanaombea ccm ife.
Wanaccm hawana shida, wenye shida ni wahuni walio nyuma ya ccmCHADEMA inachotaka ni usawa kwenye kushiriki siasa. Chama kipi kinabaki ama kutoka iwe ni kwa ridhaa ya wananchi na si kwa mabavu ya dola!
Mbona hao wana CCM hawaonekani kupambana na hao wahuni?Wanaccm hawana shida, wenye shida ni wahuni walio nyuma ya ccm
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Gentleman,Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Wewe umewahi kubananishwa na wahuni usiku ?Mbona hao wana CCM hawaonekani kupambana na hao wahuni?
Kama kuna wahuni nyuma ya CCM basi hao wahuni ndiyo wenye kauli ya mwisho kwa CCM ya sasa.
Mpaka awe free siye tulishasepa na kijijiMakosa yetu yanakuhusu nini wewe? hii huruma unaitoa wapi kama sio UNAFIKI? Tundu will be free na hamtaamini, Nyie ni mashetani
Hawa watu ni wa kuhurumia. Magufuli alisema anaua upinzani lakini akafa yeye na kuwaacha. Sijui ni kwa nini hawaoni jambo dhahiri: ukitaka kuua upinzani basi fanya vizuri unapoongoza.Mbona unaandika kama vile CHADEMA Iko hai wakati wewe ulisema ilishakufa? Au unaandika huku unaendesha baiskeli ya mitano tena?
CCM imejaa wajinga kama wewe. Nasema hivi kwa sababu njia rahisi kabisa ya kuua upinzani ipo lakini hamtaki kuifuata. i.e. Serikali iwajibike na kuwapatia wananchi uongozi bora na nchi ipate maendeleo. Vinginevyo, ujinga wa kutaka kuua upinzani kwa sheria na ukandamizaji hazifanyi kazi. Utakufa wewe lakini wao wataendelea kuwepo.chorus tu ilaa CHADEMA kwishney. Kuna chama kiliitwa NCCR na CUF na nyinyi manelekea hukohuko
Halafu?Mpaka awe free siye tulishasepa na kijiji
We nyumbu hayo ni mawazo yako na hofuTangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.