Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,175
- 48,459
Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Endelea kuotaIfe mara mbili?
Endelea kujitekenya na kuchekaSiyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Kilichoiua CHADEMA ni nini?Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Hawa ni wa kwenda nao taratibu...Endelea kujitekenya na kucheka
Mlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.Endelea kujitekenya na kucheka
Nasikia unamuunga mkono Ponjoro wa Kinondoni 😄😆😀Ife mara mbili?
Mbona unaandika kama vile CHADEMA Iko hai wakati wewe ulisema ilishakufa? Au unaandika huku unaendesha baiskeli ya mitano tena?Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Allen Kilewella mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.
Nilipomwona Seth Singh pale Mlimani City nikamkumbuka Seth Mwamoto wa Majembe Auction MartNasikia unamuunga mkono Ponjoro wa Kinondoni 😄😆😀
hata wewe hujui kuwa CHADEMA ni Imani? hujui kuwa ni jambo la ndani ya moyo wa mtu? Mimi huwa ninavaa kijani, ila sio wa kijaniIfe mara mbili?
Wanaotaka kuiua chadema ni Dola Wala sio hao uliowatajà mkuu...Mlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.
Lissu anaropoka kuanzisha uasi mwezi April 2025 na baada ya mwezi 1 anakamatwa na kuwekwa ndani.
Mwezi mmoja baadaye Msajili wa vyama anaitisha kikao cha kusaini kanuni za maadili, naye Heche anagoma KUSAINI. Tundu kachonga jeneza la CHADEMA na Heche kapigilia misumari.
Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Allen Kilewella mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.
Hata Mwamposa,Lusekelo, Mwingira na Maboya, timing yao ya kuwa maarufu ilianzia Iringa.Nilipomwona Seth Singh pale Mlimani City nikamkumbuka Seth Mwamoto wa Majembe Auction Mart
Iringa ni chimbuko la Wajanja wote wa Tanzania 😂😂😂
balozi huyo na bike yakeMbona unaandika kama vile CHADEMA Iko hai wakati wewe ulisema ilishakufa? Au unaandika huku unaendesha baiskeli ya mitano tena?
Fanyeni reforms twende kwenye uchaguzi halafu ndio utajua kama imekufa au haijafa!Ife mara mbili?
Sahihi kabisa hata JK alisoma Tosa 😄Hata Mwamposa,Lusekelo, Mwingira na Maboya, timing yao ya kuwa maarufu ilianzia Iringa.
Ukitaka uwe Nabii au mtume maarufu, wekeza Iringa
Sawa mkuu imekufa basi wamuachie Lissu maana sijawahi sikia mzoga unafungwa jela.Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025