The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,995
- 13,509
Sidhani kama anaweza kupata kura hata moja kama kura hazitachakachuliwa. Nadhani, bila uchakachuaji, hata angegombea na kuku, angeshindwa tu.
Nafikiri kimya kimya.
Ni huko huko wapi aka ArushwaHuko Arusha ndo wapi?
Sio arusha tu nchi yote mmetiwa kwapaniArusha ilikua zamani aisee, sasa hivi ccm wameshawawin.
Hawana ujanja tena.
Kuna mikoa ambayo ilikua na afadhalo, Mbeya na Arusha pia ila sasa hivi chaliiSio arusha tu nchi yote mmetiwa kwapani