Kwanini CCM na CHADEMA wanaweweseka kivuli cha Zitto Kabwe?

Kwanini CCM na CHADEMA wanaweweseka kivuli cha Zitto Kabwe?

--------------------------------------
Kwa makamanda wa Billicana Inavyoonyesha mnatamani Sana kuirudia agenda ya kupambana na Ufisadi.

Bahati mbaya kamanda wa Anga aliipoteza alipokubali kumuuzia Chama FISADI ambaye ni mmoja Kati ya Mafisadi mashuhuli waliowahi andikwa na magazeti mnayoyatumia Leo kama reference, Magazeti ambayo Sasa hivi hayamuoni tena fisadi yanamsafisha . ..
Ha ha haaaaa...Umemaliza kila kitu mkuu. Ni ngumu sana kuendesha chama bila falsafa-mama na ajenda ya jumla. Yes, Lowassa alikuja na msisimko sana na alisaidia kuongeza wabunge therefore more ruzuku ==> more mpunga kwa Mbowe & Co lakini gharama yake kimkakati ni kubwa mno. Leo haieleweki chama kinapigania nini mpaka kimebaki kudandia matukio tu. Surprisingly bado eti wana ndoto ya siku moja kutwaa madaraka!
 
Afande Sele A.k.A Msindi, huyu mtu atawamaliza ACT wasaliti chama chenye mbunge mmoja kama taa moja ya treni
tee tee kwani Afande Sele si alitoka CDM??kwanini na yeye asiwe msaliti?au mpaka amseme mbowe?
 
Usitufagilie barabara ili tuamini atakayepita hiyo njia unayofagia atakuwa msafi. Yeye atasimama kama yeye, mazuri yake yatakaa upande ule na madudu yake yatakaa upande ule kama ulivosukuma maneno maovu yamhusuyo yeye yakae pembeni ukampamba tu kana kwamba yeye doesn't fit or get activated in evil field.
Kila binadamu anayajua mema na mabaya kwa hiyo asubiri mhukumu wa kutumia facts maana yule anayehukumu kwa yasiyothibitika kwa macho yaani hata ya sirini amesisitiza atafanya hilo kwa wakati wake na katika ulimwengu wake.
 
Back
Top Bottom