mwarabu113
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 121
- 32
Ccm Wako Sahihi Kabisa Kuwaita Hivyo Kwasababu Watu Wenye Akili Za Kawaida Hawawezi Wakaendelea Kuipigia Kura Ccm Kwa Maovu Wanayoyafanya, Hata Wao Wenyewe Wanashangaa Ukiacha Wenzetu Wa Nchi Jilani Huwa Wanatushangaa Hawatumalizi Mpaka Kagame Alidiliki Kutuita Ng'ombe Akimwambia Mkapa Wewe Nikikupa Uiongoze Hii Lwanda Masaa Sita Tu Utakuwa Kichaa
hyo ni kweli mkuu, ccm wanatushangaa sisi watanzania kwa kututukana kabisa lakini sijui tumeziba masikio!!