Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
Habarini Wakuu,
Hivi kuna sababu gani kwa CCM kuwadharau,kuwakebehi na kuwatukana watanzania hivi? Hivi hawaoni thamani yetu?
Wametudharau kwa haya:-
-Wamewaita Vijana Wavuta bangi,Wanywa viroba,Vibaka
-Wamewaita waalimu Mbayuwayu (na wakati wana madai yao ya msingi)
-Maneno kama: kama huwezi kulipa nauli piga mbizi. Kweli?
-Tutashinda hata kwa goli la mkono.
Kwanini kuwaita watanzania Vibaka na wanywa viroba halafu bado unataka kura zao?