Utambuzi wa kifikra bado uko chini kabisaWahenga walisema kuuliza sio ujinga,wahenga walishasema huwezi kujua kila kitu,kwa hiyo naomba kuuliza swali ,na swali lenyewe liko hivi,je kwanini chama cha mapinduzi ccm huwa kinashinda sana chaguzi nyingi za vijijini kuliko chaguzi za mijini?
Tuki weka pembeni sijui rushwa, tukiweka pembeni masuala ya umasikini au vijiji kutofikika tatizo kubwa ni
Kuna disconnection kati ya watu wa mjini na vijijini, yaani unakuta mtu wa kibaha mjini yuko connected zaid na mtu wa Dar au Mbeya au Iringa mjini lakini hajui kinacho endelea msoga. Vyama vya siasa navyo vinakosea hapo, angalia mwaka juzi kuna watu eti wana jiita wana chadema walikuwa wanasema hawajui nani kampigia kura magufuli, ndugu wapenda maendeleo na wapinzani nendeni vijijini, nendeni mka wasikilize wakati wa uchaguzi wana hitaji nini simamisheni wagombea wanao toka humo humo vijijini mkiweza, mwenye ndugu ukienda krismas sio unakula kuku tu, wasikilize wanakijiji wanapenda nini shida zao ni nini, ukienda kijijini ukawaambia tu elim elim elim siajabu hata hawatakuelewa ila ukitoa ahadi zinazonendana na mazingira uta weza, sasa jimbo la Isimani la Iringa eti una msimamisha Ole Sosopi ashindane na Lukuvi!!, shida ni kuwa makao makuu ya vyama yaliyoko mijini hayajui watu wa vjijini wana taka nini, na wana nchi walioko mijini hawako connected na wenzao wa vijijini kusikia wana shida gani na wa vijijini hawasikii ndugu zao wa mijini wana shida gani.
Tujirekebishe mabadiliko huanza na sisi
Kwa sababu mijini kuna vijana wavuta bangi na wanywa viroba wengi wanaodanganyika kirahisi na hawaoni maendeleo ya miundo mjini na sekta za huduma muhimu kutpkana na ulevi huo!!Wahenga walisema kuuliza sio ujinga,wahenga walishasema huwezi kujua kila kitu,kwa hiyo naomba kuuliza swali ,na swali lenyewe liko hivi,je kwanini chama cha mapinduzi ccm huwa kinashinda sana chaguzi nyingi za vijijini kuliko chaguzi za mijini?
Wahenga walisema kuuliza sio ujinga,wahenga walishasema huwezi kujua kila kitu,kwa hiyo naomba kuuliza swali ,na swali lenyewe liko hivi,je kwanini chama cha mapinduzi ccm huwa kinashinda sana chaguzi nyingi za vijijini kuliko chaguzi za mijini?
Kwa Tanzania issue ni utangazaji wa kura siyo upigaji kura.Wahenga walisema kuuliza sio ujinga,wahenga walishasema huwezi kujua kila kitu,kwa hiyo naomba kuuliza swali ,na swali lenyewe liko hivi,je kwanini chama cha mapinduzi ccm huwa kinashinda sana chaguzi nyingi za vijijini kuliko chaguzi za mijini?
Vijijjni wanaamini Nyerere ni Chama cha siasa na CCM ni dini ya Mungu.1. Upinzani wameweka nguvu nyingi mijini huku wakisahau vijijini. Tena kule ndko kura zinapopigwa vizuri.
2. Elimu elimu elimu
3. Media coverage
Kuna vijiji hata magazeti hawayajui. Tv wanaangaliaga tbc pekee. Unategemea nn apo.
4. Umri. Vijijini kuna idadi kubwa ya wazee kuliko vijana. Wazee hawana habari na mabadliko coz hawana maisha marefu. Vijana hawana utamaduni wa kupiga kura.
5. Wizi wizi wizi wa kura
Kwani mini mingapi inoaongozwa na upinzani?Wahenga walisema kuuliza sio ujinga,wahenga walishasema huwezi kujua kila kitu,kwa hiyo naomba kuuliza swali ,na swali lenyewe liko hivi,je kwanini chama cha mapinduzi ccm huwa kinashinda sana chaguzi nyingi za vijijini kuliko chaguzi za mijini?