Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Kama hao kina Enock hawataki kugombea walazimishwe?Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwa nini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yana mharibia kiongozi wake.
Halafu wote kutoka ZANZIBARJina siyo dini
Askofu mkuu wa Anglican church alikuwa anaitwa Ramadhan kutokea Zanzibar
yaani zanzibarizationMkuu waijua ccm lakin, kwanza ni watu wasiojiamini kuanzia mwenyekiti wake mpaka chiniView attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwa nini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yana mharibia kiongozi wake.
Enzi za Magu kulitawaliwa na wakristo tupu hukuwahi piga kelele. Hii tuachie sisi wewe endelea kulinda kaburi!!View attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwa nini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yana mharibia kiongozi wake.
CCM INA WENYEWE NAO NI WAISLAMUView attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwa nini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yana mharibia kiongozi wake.
Kwa hiyo kwako hii ndio njia ya kutatua tatizo?Enzi za Magu kulitawaliwa na wakristo tupu hukuwahi piga kelele. Hii tuachie sisi wewe endelea kulinda kaburi!!
na helicopter itakuwepo ya kupeperusha majina ya washindiUtasikia kesho tutakuwa na tamasha la kumpongeza
Mhna helicopter itakuwepo ya kupeperusha majina ya washindi
Muhimu ni Wanaccm!Halafu wote kutoka ZANZIBARyaani zanzibarization
Ccm wanamuogopa Sana Mwenyekiti , 😂🤣 Kuna wazee kule ila Sasa ,nani atadhubutu, hakuna Cha BT hapa Wala nini ,View attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwa nini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yana mharibia kiongozi wake.