kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wanatumia mikwara kunyamazisha watu kisha wao wanapiga dili, deni la Taifa limepanda mara Dufu hakuna unafuu wa maisha CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna malaika wote ni wapiga diliInashangaza jinsi CCM wanavyoongoza nchi kidikteta na kuharibu mshikamano wa watanzani kwa kuingiza ukabila, ubaguzi, nk. Pia kuna ufisadi mkubwa umetendeka wakati wa awamu hii. Ukweli ni kwamba magu hajafanya chochote cha maana ila kelele zimekuwa nyingi mno na wapo watu wameshurutishwa kupiga kelele kuonesha mambo makubwa yamefanywa ila sasa watu wamegundua ni uongo mtupu hakuna la ajabu.
Haya yana uhusiano gani na ujenzi wa Chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Ununuzi wa Ndege kwa cash wajanja wachache wakala 10% kwa cash huku shirika la Ndege ATCL likijiendesha kwa hasara kubwa zaidi ya hapo awaliNatambua wananchi WANATHAMINI sana hii miradi iliyoanzishwa au kuendeleza na serikali chini ya J.P.Magufuli.Hasa kwa wale wanaopenda Maendeleo.
Usidanganyike na serikali ya CHADEMA ya mtandaoni ambayo makao makuu yao yapo twitter!!
Refer, Taarifa za CHADEMA ya Mtandaoni kipindi cha CORONA hasa kutuhusu sisi wakazi wa Dar es salaam. Utatambua hawa jamaa wapo kuexaggerate any Fact.
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
PhD ya ugoko ya kuiba mitihani na kukariri ili ufaulu mtihani matokeo yake ndiyo hayaHiki ni Kingereza cha kutokana na elimu Bora au Bora elimu?
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Hiki ni Kingereza cha kutokana na elimu Bora au Bora elimu?
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mtukufu Magufuli lugha anayoijua vizuri ni kihutu tokea Burundi na pia kakisukuma kidogoHiki ni kiingereza cha kishamba kweli kweli.
Kwa nini hajishtukii?
"You excellence, I was just trying to preach but I can't reach you .... haha haaa."
Pamoja na makelele yote badoka kaukomalia lugha hii asiyoweza kuimudu.
Mtukufu magufuli lugha anayoijua vizuri ni kihutu tokea Burundi na pia kakisukuma kidogo
Mmechongewa madawati sasa mkafyatuane watoto wapate erimu buleeHiki ni Kingereza cha kutokana na elimu Bora au Bora elimu?
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
INACHUKIWA NA MASAHOGA NA WAHUNIIINA WAPIGA DEAL NA HAWAFIKI HATA MILKUON 2 NCHI NZIMA ILA INAPENDWA NA WATU ZAID YA MILLION 50 NCHI NZIMAIpo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo wanaodai ukishindwa kujiendeleza leo tambua huna Leo nyingine.
Je, kwanini wananchi wameacha kuthamini miradi inayoendelea na kuwachukia wanaowaletea hayo maendeleo?
Nakubali miradi hii ni long term. Tutafaidi baadaye. Tusiibeze hata kidogoNatambua wananchi WANATHAMINI sana hii miradi iliyoanzishwa au kuendeleza na serikali chini ya J.P.Magufuli.Hasa kwa wale wanaopenda Maendeleo.
Usidanganyike na serikali ya CHADEMA ya mtandaoni ambayo makao makuu yao yapo twitter!!
Refer, Taarifa za CHADEMA ya Mtandaoni kipindi cha CORONA hasa kutuhusu sisi wakazi wa Dar es salaam. Utatambua hawa jamaa wapo kuexaggerate any Fact.
Inashangaza jinsi CCM wanavyoongoza nchi kidikteta na kuharibu mshikamano wa watanzani kwa kuingiza ukabila, ubaguzi, nk. Pia kuna ufisadi mkubwa umetendeka wakati wa awamu hii. Ukweli ni kwamba magu hajafanya chochote cha maana ila kelele zimekuwa nyingi mno na wapo watu wameshurutishwa kupiga kelele kuonesha mambo makubwa yamefanywa ila sasa watu wamegundua ni uongo mtupu hakuna la ajabu.